huyo ana mwanamke mwngn na tyr ana mtt/wtt kama sivyo hana mpango na ww ana mtu mwngn ana malengo naye sasa,,,,,,,, vua viatu shika mkononi kunja sketi toka ndukiiiiiiiiiiiiii,,,,,,,,,,
Tatizo lako sio umri tatizo unapenda wanawake ambao tayari wanajiweza kimaisha sababu unaonekana kabisa huna hela za kuwapata vijana/ masista do wanaohitaji kuhudumiwa.
Mkeo anaonekana ana sauti kukushinda ww. Fanya maamuzi magum kama baba mtoto asipozaliwa mwambie atafute pori la kwenda mwaka na nusu mbona mtoto mkubwa kabisa tena mwambie asikushirikishe kwny dhambi ya kuua alaaa!!!!!!!!
Ikitokea ukazaa mtt wa kiume tafadhal sn usije ukamuadhibu sababu ya baba yake hy ni dhambi kubwa sn. Lkn hupaswi kusononeka kiasi hicho pengine unaepushwa na balaa. angekuwa amekufa hy mwanaume ungezikwa naye? au usingelea mtt wk? jipange umlee mwanao Mungu atakusaidia
Unapotaka kufanya maamuzi yoyote yale kwa mwenzako fikiria kwanza ingekuwa ni ww unafanyiwa hivyo ungejisikiaje jibu utakalolipata liwe ndo maamuzi yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.