Recent content by wisely

  1. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wale wenye matatizo ya kutopata chuo batch zote

    Nicheck pm au kwa namba hii 0742815465 tushauriane kwa Yale yanayowezekana saidiana
  2. W

    JamiiForums Tanzania Kuhama chuo kwa mtu anayeingia mwaka wa pili ngazi ya shahada inawezekana?

    nasoma mwalimu nyerere memorial nataka enda saut ya mbeya
  3. W

    JamiiForums Tanzania Kuhama chuo kwa mtu anayeingia mwaka wa pili ngazi ya shahada inawezekana?

    Wadau kwa wanaofahamu taratibu za mtu kuweza kuhama chuo anijuze
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kuhusu maombi ya mkopo 2015/2016

    kuweni makinin katika kuomba mkopo kuanzia viambata vyote vinavyotakiwa bila viambata sahihi kama ulivyojaza fomu yako online huwezi pata mfano umesema mzazi wako ni mlemavu then kwenye fomu hujaambatanisha supporting document ujue umeumia so kuweni makini
  5. W

    JamiiForums Tanzania Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    huyo jamaa hiyo message kaedit walimu walioajiliwa 2013 vuten subira wadau na kuna uwezekano hata watao maliza vyuo wa sita wakaajiriwa mapema
  6. W

    JamiiForums Tanzania Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    pressure za nini ajira watano mkitaka muandamane hizo skendo me nna source ya kueleweka na watu wanajua wanaenda wilaya gani
  7. W

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kama unasubiri kuajiriwa

    jiandaeni kuripoti mwezi wa tano tarehe 1 hawawezi zingua nyie ndo wapiga kura
  8. W

    JamiiForums Tanzania Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    wadau msitishike ajira zipo mwezi wanne post zinatoka wa tano tarehe moja kuripot
  9. W

    JamiiForums Tanzania Kuzuia baadhi ya mavazi CBE ni kinyume na haki za binadamu

    huna akili wewe ukitaka tembea uchi kabisa afu sema ni tamaduni ya kabila lako au zaa wako waache wavae nusu uchi me nadhani wewe unaruhusu akili ndogo iongoze kubwa
  10. W

    JamiiForums Tanzania Majibu ya TCU bado hayajatoka?

    usijal tusubiri tu kusnzia sasa hadi tarehe kumi mambo yatakuwa well haiwezi zidi hapo
  11. W

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliokosea fomu za bodi ya mikopo HESLB

    ntumie jina lako nikuangalizie niliyadowload yote ninayo kwenye pc yangu
  12. W

    JamiiForums Tanzania waliokosea baadhi ya vitu kwenye fomu za mkopo 2014/2015

    majina nlidownload kwenye pc ncheck kwenye namba hii 0756244475 ntakuangalizia free
  13. W

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliokosea fomu za bodi ya mikopo HESLB

    majina yapo wakuu fungua kwenye tcu kwenye ile taarifa ndani ya barua kuna majina wameyapanga kwa alphabet
  14. W

    JamiiForums Tanzania waliokosea baadhi ya vitu kwenye fomu za mkopo 2014/2015

    wadau wale walioomba mikopo heslb, majina ya watu waliokosea baadhi ya vitu yametoka na mwisho wa marekebisho ni tarehe 10 mwezi wa tisa tembelea website ya heslb kuangalia jina lako kama lipo na baadhi ya vitu hivyo ni kama:- kutosaini mdhamini. mwombaji kutosaini. kusahau kuambatanisha vyeti...
Back
Top Bottom