Recent content by wisekidie

  1. wisekidie

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananipenda sana!

    Jackiiiiiey 😂😂😂🙌🏾 endeleza maombi asikutane na mafisi
  2. wisekidie

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa dawa ya maumivu ya mguu kwenye mfupa

    Hapana sio wa dodoma, kuna Jamaa mmoja yupo Mbagala Chamanzi (alinitibu kwa Kutumia Mti wa Mtamba) Kiukweli nimeshanaliza miezi mitatu na natembea Vizuri Mafanikio ●naweza kutembea vizuri umbali mrefu bila ya shida ●maumivu hakuna Kabisa Tatizo ●Fracture haijaunga ●siwezi kukimbia Hivyo...
  3. wisekidie

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa dawa ya maumivu ya mguu kwenye mfupa

    Nipo kwa mtaalam wa mipupa wa dawa za asili Hawa jamaa wanapishana sana na hospitali Tangu nilivyojitegua tena sasa hivi nina mwezi na ninatembea zaidi ya km 2 na sina tatizo
  4. wisekidie

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa dawa ya maumivu ya mguu kwenye mfupa

    Kiongozi Natumia lugha isiyo rasmi kusema mi ni wajina wako kwenye Janga hilo Dec 14 2023 nilipata ajali ya goti na kuvunjika mara mbili juu na chini (transverse patella fracture) Mungu mwema haikuwa (open fracture) Nina mwezi sasa najitibu kiasili tangu nilipojitonesha tena baada ya...
  5. wisekidie

    JamiiForums Tanzania Uliwezaje kuanzisha au kukubali kuwa na mahusiano na mtu aliyekuzidi umri?

    Wanataka niwatajie Nilipo Waje Wanikamate 😂
  6. wisekidie

    JamiiForums Tanzania Mkopo mtandaoni

    Hivi branch Ukilipa Deni la Mwanzo huwa Wanaongeza Kiasi gani
  7. wisekidie

    JamiiForums Tanzania Urusi itamaliza vita kwa kutumia nyuklia kwa siku chache tu-Medvedev

    Bora kusiwe na vita aisee
  8. wisekidie

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wa kujua Brand bora ya TV ya kununua kwa sasa

    Tv ganj hiyo mkuu?
Back
Top Bottom