Recent content by wisedickson

  1. W

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha taarifa za kuhujumu nchi zinapaswa kutolewa na nani ili usalama wa taifa waingie kazini?

    Kwa Uelewa wangu watendaji kazi wakubwa wa ulinzi wa ndani ya Nchi ni Usalama wa Taifa, na hawa wanapaswa kuwa makini sana na kila kitisho kinachotokea katika nchi kabla hata hakijafika polisi kutokana na mtindo wa mafunzo yao. Lakini katika Taifa langu Tanzania, Usalama wa Taifa wanawajibika...
  2. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kurasa za mitandao ya kijamii za serikali, kuchapisha maudhui ya kampeni kwa mgombea mmoja ni sahihi?

    Tarehe 29.08.2025, Ukurasa rasmi wa Ikulu Mawasiliano ulichapicha taarifa zenye kichwa kisemacho "Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Ngerengere kwa ajili ya kuzungumza na wananchi...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ngo ngo ngo jf!

    karb ila tatizo mic zote n za kuandika
  4. W

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    pia kama unajua sare na mambo mengnine unaweza kureply
  5. W

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    jamani kama unaweza kuwa na mawasiliano ya ngudu sec, nitumie kwenye email dicksonjohn04@gmail.com
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kingunge aagisa vyama vya waganga wa kienyeji mikoa yote kuteua waganga wa kumsaidia Lowasa ashinde

    oyeeeeeh so ndo nin iki albino watapona kweli
  7. W

    JamiiForums Tanzania Hodi humu ndani

    Mi mgeni humu nikaribisheni nawaomba, tu-share na kujadili mambo mbalimbali yahusuyo jamii. Ahsanteni.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Nini tiba ya ambaye gonads zake zinamuuma

    Jf doctor niko na swali kwa tizo ambalo linamsumbua mdogo wangu, ako na miaka 19 sasa lakin mara kadhaa amekuwa akilalamika kuwa gonads zake zinamuuma, na inapotokea hushindwa hata kutembea vizuri, so atafanyaje ili apone ama tiba yake ni nni???
  9. W

    JamiiForums Tanzania Crazy things you did in secondary school

    Aisee inatisha i do remember last yeah when i was in form four niliwahi kuchapwa stick 43 siku moja na mwalimu mmoja. Waliosoma Nkende sec wanarikubali hili, af cha ajabu ni kwamba fimbo za kdato cha nne ni nyingi kuliko za vidato vitatu du nilichezea fimbo.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano 2015/2016

    wanafunzi wenzangu wa jf hivi kweli serikali yetu iko makini kwa kile inachokifanya ama inatania, huu ni mwezi juni na bado selection hazijatoka hivi elimu ya mtanzania sini magumashi tu. Nimechokaa kukaa kitaa serikali mtoe haraka.
Back
Top Bottom