Ndugu wanajamii forum Salam. Naomba kuuliza mwenye ufahamu wa upatikanaji wa viwanja Dodoma mjini anijuze. Viwanja vilivyopimwa vinapatikana sehemu gani kwa bei gani nna ipi ni sehemu nzur kujenga nyumba ya makazi Dodoma? Nitashukuru Sana. Hata aliye na uelewa wa upatikanaji wa viwanja Morogoro...
Salamu wakuu, naomba mwenyeji ama mwenye uelewa na mji wa Morogoro, ni sehemu Gani nzur kujenga kwa Sasa na vipi upatikanaji wa viwanja? Kwa ukubwa wa ekari moja ivi? Maji na Vifaa vya Ujenzi vinapatikana kwa urahis? Nijuzeni mwenzenu nataka kupafanya makazi yangu ya kudumu hapo. Nitashukuru...
Heshima kwenu wadau, naomba mnisaidie mwenye uelewa. Mfumo wa nacte kufunguliwa Sasa mpaka March ni kwa waombaji wote mpaka waliomaliza form four 2016 au ni kwa miaka ya nyuma tu?
Maana nimejaribu kufuatilia vigezo naona havijawataja kidato cha Nne 2016 na hata list ya vyuo vinavyoonekana si...
Waungwana, nawasalimu.
Naomba msaada ndugu zangu mwenye admission letter za mzumbe 2016/2017 especially Mbeya campus anisaidie. Au mwenye kufahamu chuo kinafunguliwa lini na first year wanaanza kuripot lini. Nitashukuru Sana, kuna bwana mdogo amechaguliwa hapo.
Asanteni
Kaka angu sijui ni dada, katika maisha hakuna formula Rafik angu, unachokishindwa wewe siyo wote watakishindwa. Kila mtu Ana bahati yake, unavyoidhalau udom Leo, kuna mwingine anaisifu kwamba imemfanya ale matunda mema. Na pia njia uliyoitumia si sahihi kabisa hata kidogo, usilifanye tatizo...
Wakubwa heshima kwenu, naomba mwenye uelewa wa course ya Urban Development and environmental management, yaan mtu akisoma anabobea katika nini na kazi zake zipoje/ajira anaajiliwa wapi? mdogo wangu kachaguliwa course hiyo chuo cha mipango dodoma, ila hatuna uelewa mpana na course hiyo. Mwenye...
Wakubwa heshima kwenu, naomba mwenye uelewa wa course ya Urban Development and environmental management, in terms mdogo wangu kachaguliwa course hiyo ila
Nawasalimu katika Jina La mwenyezi Mungu, wakubwa zangu heshima kwenu.
Nimeamua Leo nitoe ushauri kwa wadogo zangu ama pia wakubwa zangu ambao watabahatika kuchaguliwa kujiunga na elimu ya juu mwaka huu, kila mmoja huwa Ana malengo yake ambayo anatamani Sana kuyafikia Katika maisha ingawa...
Ningekushauri mdogo wangu, Kama dream zako ni kubobea katika masuala ya afya, medical laboratory is much better, siku zote palipo na Nia Pana njia, unawezakuanza na diploma yako and yet ukaja kupata degree yako nzur tu tena ya kile unachokipenda. Kikubwa angalia nini malengo yako ya baadye na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.