Ushauri kwa watakaochaguliwa kujiunga na elimu ya juu 2016/2017

Wise Sister

Member
Joined
May 27, 2014
Posts
52
Reaction score
52
Nawasalimu katika Jina La mwenyezi Mungu, wakubwa zangu heshima kwenu.
Nimeamua Leo nitoe ushauri kwa wadogo zangu ama pia wakubwa zangu ambao watabahatika kuchaguliwa kujiunga na elimu ya juu mwaka huu, kila mmoja huwa Ana malengo yake ambayo anatamani Sana kuyafikia Katika maisha ingawa tunatofautiana katika dhana, mwingine anaamini mafanikio yake yatapatikana katika elimu, mwingine katika biashara, nk.
Ninachotaka kusema Leo ni kuwa, haijalishi unaamini katika dhana ipi mafanikio yako yatakujia, maadamu umepata chuo na unayo Nia ya kwenda kusoma, nakushauri fanya tafakari ni nini unaendea chuoni, weka malengo na mikakati na jiapize kuitimiza. Ufikapo chuo, usichukue muda mwingi kuiga yasiyofaa Bali tumia muda wako kuwafanya wengi watamani ulivyo na unavyoishi. Fikiria unakotoka na majukumu unayotegemea kuwa nayo mbeleni Kisha Soma kwa bidii bila kujali Nani atasema nini, baada ya kuhitimu naamini utakuwa na furaha kwa kuitendea haki degree yako.
Yapo mambo mengi Sana ambayo vijana wengi wafikapo chuo hudanganywa nayo na kujikuta wanapotea na kushindwa kuitimiza ndoto zao. Wao hudhani kuwa ni ujana na ndiyo usomi kumbe maskini hupoteza muda wao na kujikuta wanatumbukia katika anasa, magonjwa nk. Mbaya Zaid kwa ndugu zangu wanaotoka katika familia zetu za kawaida, baba kajikamua awezavyo akiwa na tumaini kuwa mwanaye siku moja atakuwa tumaini, at the end kijana anakuwa Mzigo, very sad.

Ndugu yangu, usikubali kudanganyika, jitambue mapema wewe ni Nani Leo na unataka kuwa Nani kesho. Usikubali Rafik, shost nk akuharibie future yako. Be yourself, jiepushe na makundi yenye tabia chafu, pania kufikia malengo yako tu na muombe Mungu atakulinda.
Wapo watu watakuvunja moyo kwa maneno ya kejeli, unasomea kijiji, unakomaa kama upo secondary, mshamba nk, usijali wala usiteteleke, kila mahali maneno ya kuvunja huwa hayakosi, yasikuogopeshe, potezea Kisha songa mbele kwa ujasiri naamini mwisho wa siku utaheshimika na utatimiza ndoto zako.
Nawatakien kila kheri na baraka mnapojiandaa kwenda chuo kikuu, Mungu awatangulie ila nawakumbusha tena, chuoni si mahali pa kushangaa majengo wala kuiga usasa, bali ni mahali muhim Sana pa kupata maarifa, ubunifu, na kutimiza ndoto zako,hivyo enenda kwa hekima ili uyapate mema Mazur yote na ukawe chachu si tu katika kijiji/mtaa wako bali hekima, maarifa na busara zako zikawe faida kwa taifa na dunia kwa ujumla. All the best
 
Good good
 
nice Sana'a.... ubarikiwe sana bonge LA ushauriii
 
Sante Wise Sister.

Nimeicopy kama ilivyo na kuiprint kama barua na kumkabidhi dogo kama wosia wangu kwake anapoelekea chuo.

Asante sana!
 
wenye kuskia wameskia.
 
Shukrani sanaaaaaaaaaaa mkuu kwa ushauri.... Mungu anisimamie....atheeee nitaenenda sawa sawa na ushauri huu..
 
Back
Top Bottom