Recent content by wise one

  1. W

    JamiiForums Tanzania Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

    Ndugu mc ondoa shaka ombi lako litazingatiwa ingawa mc alikuwepo tayari
  2. W

    JamiiForums Tanzania Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

    Wakuu narudia tena kuwashukuru kwa Upendo wenu Kiukweli napitia kipindi kigumu sana Maana kuna vikao vinaendelea usiku na mchana kutatua tatizo hili Nilikuja kuomba ushauri hapa wakati vikao vinaendelea ili kupata nguvu zaidi hivyo nawashukuru wote Pia kazini kuna mgogoro umejitokeza juu ya...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

    Mkuu nashukuru kwa muongozo wako
  4. W

    JamiiForums Tanzania Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

    Wakuu nawashukuru wote kwa mawazo yenu mazuri Ingawa nipo chini ya shinikizo kutoka kwake na ndugu zake kuwa wameshafika mbali kwenye maandalizi ya send off na kwamba wanadai tuzungumze tuyamalize ila kwa kweli moyo wangu umegoma kabisa Nawashukuru sana
  5. W

    JamiiForums Tanzania Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

    Wakuu habari za mida, Mimi ni mfanyakazi wa benki moja ya kigeni sitaji jina, nipo hapa kwa muda mrefu sasa. Nimekuwa na uhusiano na msichana hapa kazini ambae wakati amejiariwa nilikabidhiwa kazi ya kum-train hadi ajue. In the process of training heri tukajikuta tumekuwa wapenzi, hatimaye...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa mchepuko wangu uliotaka nimuache wife niuoe wenyewe

    Kwa mini mkuu?
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa mchepuko wangu uliotaka nimuache wife niuoe wenyewe

    Nataka nipate report yangu na laptop kwanza then mambo ya Gari yatafuata
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa mchepuko wangu uliotaka nimuache wife niuoe wenyewe

    Kumbe niurudie tu mchepuko
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa mchepuko wangu uliotaka nimuache wife niuoe wenyewe

    Mkuu nitake radhi Sijakuelewa
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa mchepuko wangu uliotaka nimuache wife niuoe wenyewe

    Wewe ndo ulinishauri niache uzinzi ukawa mkali sana, nikasema wakuu kweli hampendi uzinzi sasa unanigeuka tena du!!
  11. W

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa mchepuko wangu uliotaka nimuache wife niuoe wenyewe

    Mkuu sio fiction, wakati anachukua funguo ilibidi nizuge maana baa ilijaa watu nikaona noma kuanzisha fujo pale
  12. W

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa mchepuko wangu uliotaka nimuache wife niuoe wenyewe

    Mkuu huyu anitakii mema nirogwe dushe?
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa mchepuko wangu uliotaka nimuache wife niuoe wenyewe

    Kiongozi jukwaa hili ndo lilinishauri nibaki njia kuu, niachane na mchepuko nibaki na wife
  14. W

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa mchepuko wangu uliotaka nimuache wife niuoe wenyewe

    Mkuu nilishauriwa hapa hapa kuwa niache uzinzi Mbona mnabadilika tena!!!
  15. W

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa mchepuko wangu uliotaka nimuache wife niuoe wenyewe

    Wakuu mlipenda niiweke vipi ili muamini? Huenda mnadhan labda kuna watu maalum yanawata!!! Wapo wengi tu tofauti ni kuwa sio kila MTU anakuja hapa kusema
Back
Top Bottom