Mtoa mada yuko sahihi na mkweli.Ukitaka kumjua Mengi vilivyo nenda pale Tanzanite Africa Mirerani uone anacyowanyanyasa wachimbaji wake.Ni halali kumlipa kibarua sh 10800 kwa juma??Je ni halali kibarua kufanya kazi kwako bila ya mkataba?? Mengi kama mwekezaji aufahamishe umma ni msaada upi...
MARIRE:Bila kumumunya maneno mgogoro huu unachochewa na makundi ya kisiasa na makundi ya maslahi binafsi.Ambayo ni:-1.Diwani wa Naisinyai ni kinara wa mgogoro kwa ajili aliyepitishwa hamtaki maana anaelewa vilivyo ni msumari kwake 2015. 2.Dr Ole hamtaki aliyepitishwa maana anahofia sana maslahi...
Mgogoro huu ni mkubwa sana.Unachochowa na wanasiasa wa ndani na nje ya kiteto kwa maslahi ya kikabila.Serikali wakiwa wakweli mgogoro hu utakwisha ila kwa kulindana hautaisha katu.
Katika kata ya Naisinyai Kijiji cha Kambi ya Chokaa kwa sasa kuna wenyeviti wawili wa kijiji hicho baada ya ccm wilaya ya simanjiro kushindwa kutatua mgogoro wa uchaguzi.Kwa wasiotambua ni hivi katika kura za maoni ndugu Kunei alishinda akifuatiwa na ndugu Mbuki Ratoi.Ambapo kamati ya sisa...

Mgao wa umeme upo nchi nzima si Mwanza tu.Hi hali wanaficha kutangaza jambo ambalo ni uupuzi mtu.Serikali ikubali na ikiri waziwazi imeshindwa.Ushahidi upo waziwazi kutoka kwa mameneja kuwa mgao upo ila wameonnywa kutangaza ili kuficha aibu.Kwa kuogopa kauli ya itakuwa historia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.