WISDOM SEEKER
Member
- Dec 16, 2014
- 14
- 1
Katika kata ya Naisinyai Kijiji cha Kambi ya Chokaa kwa sasa kuna wenyeviti wawili wa kijiji hicho baada ya ccm wilaya ya simanjiro kushindwa kutatua mgogoro wa uchaguzi.Kwa wasiotambua ni hivi katika kura za maoni ndugu Kunei alishinda akifuatiwa na ndugu Mbuki Ratoi.Ambapo kamati ya sisa wilaya ilimteua Mbuki kugombea kwa tiketi ya ccm.Wanachama walipinga uteuzi huo na wameendelea kuupinga.Leo imeshindikana kuapishwa kwa mteule huyo baada ya mahakama kuvamiwa na wananchi hao.Iko wazi kuwa mgogoro huo unachochewa na kiongozi mmoja kwenye kata hiyo akishirikiana na daktari mmoja kwa manufaa yao binafsi.