Recent content by Winston Mtanzania

  1. Winston Mtanzania

    Hii ndio dawa ya Tundu Lissu

    Ifike pahala watu tufikiri kwa kutumia akili sio viungo vingine..... Kazi za mbunge katika katiba ni hizi tatu: 1. Kuwawakilisha wananchi kwa kusemea mambo yao 2. Kutunga sheria kupitia bunge 3. Kuisimamia serikali. Wananchi wa Ikungi wanasemewa siku zote tena hata wa majimbo mengine ukiwemo...
  2. Winston Mtanzania

    Hizi ndizo siasa za kibongo, mnafiki anakosa kumbukumbu ya yale aliyoyafanya jana

    Issue ziko mbili, utaratibu wa kumwita mtu yeyote kwenye kamati ndio haukuzingatiwa kwa mujibu wa Zitto, pili Kinga ya kikatiba aliyonayo CAG Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Winston Mtanzania

    Ni aibu msomi kufanya biashara ambayo hata asiyesoma anaweza kufanya

    Ni aibu Sana msomi kushindwa kufanya biashara ambayo hata asiyesoma anaweza kuifanya......
  4. Winston Mtanzania

    Lissu is too shallow compared to Prof Kabudi

    Kuhusu Lissu ulizia South Africa uliza akina Zuma Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
  5. Winston Mtanzania

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Huduma zenu zinaboa sana..... Speed ndogo, halafu mashine zinapoteza sana mtandao.... Yaani tunageuka watumwa wenu
  6. Winston Mtanzania

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hii sio huduma kujua muundo na utendaji kazi wenu??? Sio huduma kuwafahamu mnaoniuzia umeme? Okay, nashukuru.
  7. Winston Mtanzania

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Je, ni kweli Tanesco mna kikosi kazi ambacho huweza kumchukua mtu mateka sababu ameandika mambo msiyoyapenda
  8. Winston Mtanzania

    Unakwenda mwezi na nusu sasa, CHADEMA hawataki kumtoa dereva

    Zaidi ya mwaka Ben hajulikani, wapiga risasi hawajulikani.... Ukiuliza wanasema dereva!!!
  9. Winston Mtanzania

    Juma Nkamia: Nimelazimika kuondoa kwa muda hoja yangu binafsi ya ukomo wa Urais

    Watu wa jimbo la Chemba wana matatizo mengi kuliko majimbo karibuni yote ya Tanzania.... Angewekeza katika kutatua matatizo yao badala ya kutafuta namna ya kupewa kick
  10. Winston Mtanzania

    Msemaji wa Serikali anajiona yeye anaweza kufikiri kwa niaba ya watanzania

    Jamaa umenichekesha.... [emoji23] [emoji23]
  11. Winston Mtanzania

    Polepole: Nipo Namibia, kila mtu anamuulizia Magufuli

    Haiwezekani ukakutana na kila mtu, haiwezekani zaidi kila mtu aulize swali moja, inawezekana umekutana na mmoja au wawili uliowafanya wakufahamu kwamba wewe ni katibu Mwenezi hivyo wakakuulizia kuhusu mwenyekiti wako.... Pengine angekuwepo Roma wangemuuliza kuhusu Diamond Sent using Jamii...
  12. Winston Mtanzania

    Polepole: Nipo Namibia, kila mtu anamuulizia Magufuli

    Mie huku nilipo wananiulizia kuhusu John Mnyika Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Winston Mtanzania

    Rais Dr Magufuli amekasirishwa na wasomi wetu waliosaini mikataba ya kimataifa inayolinyonya Taifa

    Kama alivyochukia nami nachukia sana wanaokuja kuvunja hiyo mikataba bila utaratibu tunaingia hasara ya pili Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Winston Mtanzania

    Swali fikirishi: Unapataje taarifa za ndani kuhusu nchi yetu kudaiwa kama huhusiki kuishtaki nchi yako?

    Baada ya maneno haya mtatumia kodi zetu kulipa madeni yanayotokana na maamuzi mabaya..... Tunaumia sana mioyoni, hamjui tu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom