Recent content by Winnienguma

  1. Winnienguma

    JamiiForums Tanzania Panya Road wavamia maeneo ya Magomeni, Mwananyamala na Kinondoni jijini Dar

    Dah hii sasa dharau jamani kwani tandika wanakaa washamba tupu
  2. Winnienguma

    JamiiForums Tanzania Panya Road wavamia maeneo ya Magomeni, Mwananyamala na Kinondoni jijini Dar

    Nimepigiwa cm muda huu wanafanya fujo magomeni
  3. Winnienguma

    JamiiForums Tanzania Le Mutuz hii sasa imezidi

    Hivi hili neno mbululaz lina mana gani mana linanivuruga kila ninapolisoma kwenye post za huyu mtuz
  4. Winnienguma

    JamiiForums Tanzania Uso wenye mafuta mengi; Ushauri mafuta gani nitumie?

    Pole my hiyo shida hata me niko nayo but nimeshaizoea
  5. Winnienguma

    JamiiForums Tanzania Nimeamini mabinti wa kichaga hawajui mapenzi

    Naomba unielekeze chuo ulichosoma na me nikasomee hiyo coz ya mapenzi mana inaoneka we una degree
  6. Winnienguma

    JamiiForums Tanzania Hivi nikweli kuwa mwanamke anaweza kupata mimba kwadizain hii

    Duh hiyo kali broo nahis unauziwa mbuzi kwa gunia
  7. Winnienguma

    JamiiForums Tanzania Mwanadada aniuzia Camera aliyorekodiwa, nifanyaje?

    Haya kazi hiyo
  8. Winnienguma

    JamiiForums Tanzania Le mutuz na Lulu wakila bata: u know, le tamkoz coming soon

    Umri wako na unayofanya tofauti ndo mana hata kuowa huwezi mana tabia zako za kisenge badilika we mzee mbona baba ako sio mshamba kama ww
  9. Winnienguma

    JamiiForums Tanzania Le mutuz na Lulu wakila bata: u know, le tamkoz coming soon

    Kwa mm huwa naona kama anaupungufu wa akili coz mtu mwenye akili zake timamu hawezi kufanya kama anayofanya huyu tahira wa malechela yan anawaibisha wagogo wenzie:D
  10. Winnienguma

    JamiiForums Tanzania Le mutuz na Lulu wakila bata: u know, le tamkoz coming soon

    Mtoto wa malechela huyo
  11. Winnienguma

    JamiiForums Tanzania Le mutuz na Lulu wakila bata: u know, le tamkoz coming soon

    Yani hili zee kama halijasoma vile wala kuishi nje yani ana mambo ya kishamba sana mzee malechela kala hasara kwa hili jitu
  12. Winnienguma

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Aisha Madinda Utata Mtupu: Polisi wazuia mazishi kufanya uchunguzi

    Clouds hawana kosa coz aliekuwa anatoa hiyo ripoti ni mtoto wa aisha madinda tena ni live
  13. Winnienguma

    JamiiForums Tanzania natafuta mke wa kumweka ndani

    Duh we hatari ninavyoona mm huna haja na mke ila unataka papuchii na kufundishwa lugha
  14. Winnienguma

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aisha Madinda afariki dunia

    Aisha ni mnenguaji
  15. Winnienguma

    JamiiForums Tanzania Binti wa miaka 22, nimemkuta na bikra

    Labda angetueleza ilikuwaje ndo tungejua bikra au kaibiwa
Back
Top Bottom