Tulipotoka chuo mwanzoni mwa miaka ya 2000 mimi na rafiki yangu kipenzi tulipata kazi nzuri na yenye kulipa vizuri sana, kazi hiyo tulitafutiwa na Mchumba wa huyo shosti wangu, tulipomaliza probation tu, rafiki yangu na Mchumba wake wakafunga ndoa rasmi.
Baada ya kama miaka 3 hivi, mimi na yule...
Work on the contract will be performed at Tucson and is expected to be completed by February 28, 2019.
“Raytheon Co., Tucson, Arizona, has been awarded a $573 million modification on [a] previously awarded contract… [to] provide Advanced Medium Range Air to Air Missile (AMRAAM) production Lot...
Angalia sasa, mwenzio ameweka analysis ya maana sana, ametoa mfano wa Libya na uturuki wa hivi karibuni, wewe una jibu generally
Maana yake huna facts
Umesahihishwa hapo juu kwamba hiyo Soviet Union ilitungua ndege ya marekani ya reconnaissance plane, ni ndege ya upelelezi au surveillance...
Hakuna pahala nimetukana mtu, conscious yako ndio inakuhukumu, nimeeleza ukweli, labda namna ya uwasilishaji wangu imefanya ukaona maneno yangu ni provocative, but deep down am very much fine
Sikufaham ww ambae tuna tofautiana mawazo na pia siwafahamu wale wanaoniunga mkono Hoja zangu, hivyo...
Nilikwambia wewe sio mchambuzi wa military science news bali ni shabiki wa Russia wa kutupwa, so declare intrest my friend
Narudia swali langu kati ya elungata alieko manzese na wizara ya ulinzi ya marekani tumwamini nani? Tumwamini elungata anaekwenda kwenye mitandao akikutana na habari...
Sio afuatilie tupe link tusome, ni wapi marekani allmuomba mrusi kurusha ndege syria
Hakuna mkataba kama huo, tunaomba link ya hiyo habari
Marekani na Russia walikubaliana code of conduct tangu mwaka Jana October kabla ya uturuki kutungua ndege ya Russia
Makubaliano hayo yalitokana na...
Sijajua hizo taarifa huwa wanatoa wapi, Ukitafuta hizo habari kwenye vyombo vyote vikubwa na vidogo huzipati, hivyo ni propaganda
Mm kwenye simu yangu, nina Russia today, sputniknews.com, aljazeera, cnn na magazine za military science, hivyo huwezi kukuta habari haikuandikwa hata na combo...
Russia hana ubavu wa kushindana na west, uchumi wake bado sana
Kumbuka G7 urusi hayumo hadi waliamua kumsaidia kwa kumuongeza pale ikawa G8 lakini alipoleta ukorofi kwa kuingilia Ukraine wakamtoa tena wakabaki g7
Anajaribu kujitutumua Lakin ana safari ndefu sana
Kauli mbiu ya urusi sasa hivi ni kuondolewa vikwazo, anaomba usiku na mchana aondolewe vikwazo, vikwazo vina tabia ya ku bite kimya kimya
Iran alijifanya haumizwi na vikwazo, lakini hapa mwishoni sharti Lake kuu la kuachana na nuclear ni kwanza aondolewe vikwazo, ndipo nikagundua kuwa...
'Equality and Respect': MEP Says EU Should Scrap Its Anti-Russian Sanctions
'Equality and Respect': MEP Says EU Should Scrap Its Anti-Russian Sanctions
Naomba tuache
Maana hakuna tofauti na wale wajenzi wa mnara wa babeli, mmoja anamuomba mwenzie koleo linaletwa jembe, anaeomba cement zinaletwa nondo, zikiombwa nondo yanaletwa mabati, hivyo ujenzi ukashindikana
Majadiliano yangu na wewe kwa kiasi kikubwa yanaelekea huko
Hivyo hatutafika...
Nakuunga mkono kabisa, mm huwa nipo objective kwenye argument, sisukumwi na mapenzi au ushabiki
Hivyo Nakuunga mkono kwamba America imeua raia wengi sana katika vita ilizoshiriki miaka ya karibuni, Iraq walifika karibu raia laki moja, achilia mbali Afghanistan na Libya
Hata hivyo hilo...
Rudi kwenye habari husika utapata majibu yote uliyouliza
Pia, wafuasi wenzio wa Russia hawapendi kusikia habari za marekani,
Taarifa kama hii ingekua inahusu urusi, hata tu urusi kutengeneza kitu kidogo tu basi ungeona wanakuja watu wengi sana kwenye uzi huo
Maboresho hayo kwenye f 16...
Huenda ikawa hivyo, maana nimejaribu kufanya uchunguzi nikagundua hivyo, ukitupitia uzi unaosifu silaha za Russia mfano Russia Imetengeneza hiki na kile basi uzi huo utachangamkiwa sana,
Hata hivyo utafiti nilioufanya nimegundua kuwa, wakati mwingine mtu ukiwa na mafanikio watu watakuchukia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.