bobby dolat
Senior Member
- May 18, 2015
- 167
- 263
Hii habari ingekua inahusu Russia, sasa ungekuta comment za kusifu zinakaribia 60Aiseeee
Wabongo wengi ni socialist tatizo ni hatujui tuHii habari ingekua inahusu Russia, sasa ungekuta comment za kusifu zinakaribia 60
Lakini kwa kuwa inasifu marekani,, haaa, sijaelewa hii chuki dhidi ya marekani huwa inatoka wapi
Huenda ikawa hivyo, maana nimejaribu kufanya uchunguzi nikagundua hivyo, ukitupitia uzi unaosifu silaha za Russia mfano Russia Imetengeneza hiki na kile basi uzi huo utachangamkiwa sana,Wabongo wengi ni socialist tatizo ni hatujui tu
Kumbe ni raia 1000 tu wa syria ndo wameuwawa na urussi?vp Marekani na ushirika wake wameua watu wangapi Iraq, Libya, Syria na kote wanakofanya mashambulizi yao?Huenda ikawa hivyo, maana nimejaribu kufanya uchunguzi nikagundua hivyo, ukitupitia uzi unaosifu silaha za Russia mfano Russia Imetengeneza hiki na kile basi uzi huo utachangamkiwa sana,
Hata hivyo utafiti nilioufanya nimegundua kuwa, wakati mwingine mtu ukiwa na mafanikio watu watakuchukia Bila sababu, mwanafunzi anaekua wa kwanza darasani kila muhula na kuwaburuza wengine wakati wote hutokea tu kuchukiwa na wenzie Bila sababu
Wakati Mike tyson ananyanyasa mabondia wengine akiwapiga kwa nock out watu wengi walimchukia, then alipoibuka evender holfied na kumdunda tyson dunia nzima tulishangilia na kuhamia kwa evender
Rejea pia mfano wa Manny pacqiao na Floyd mywether, na pia mfano wa Barcelona, dunia inasubiri kwa hamu timu itakayokuja kuiondoa Barcelona kwenye ufalme wa soka
Hivi ndivyo wanadamu tulivyo, hata Russia au China siku moja wakija kuchukua ufalme na kuwa super power kama ilivyo marekani sasa, bado hata yenyewe baada ya miaka kadhaa watu wataichoka tu
Campaign ya anga ya Russia nchini Syria imegharimu maisha ya raia wa kawaida karibia elfu moja na kitu, hii ni baada ya marubani kukosea target na kupiga vituo vya raia kwa Bahati mbaya ie hospital residential areas etc, hizi ni takwim za mashirika ya kibinadam yaliyopo Syria, mfano red Cross, unhcr, sons medicines Frontier na kadhalika, Ingawa Russia ilikanusha vikali taarifa hizi for obvious reasons hata George Bush alikua akikanusha hivi hivi taarifa kama hizi Iraq na Afghanistan
Cha ajabu idadi hiyo ya raia wa Syria waliouawa na mabomu ya urusi haizungumzwi na mashabiki wa Russia kabisa, kwanza hata ripoti hiyo ilipotoka wasemaji wa urusi ndani ya jamii forums walikanuasha vikali na kudai ni western propaganda, wakasahau kwamba rubani anapokua angani nyumba zilizoko China anaziona kama viberiti ni ndogo mno, ni rahisi kufananisha hospital na kiwanda cha silaha cha adui na kudondosha bomu
Lakini ingekua ni marekani ndio mabomu yake yamekosea na kupiga hospital au residential area basi ungesikia maandamano na worldwide condemnation
Hivyo ukubwa ni jalala
Rudi kwenye habari husika utapata majibu yote uliyoulizaWanakaa kimya kwa sababu wanajua ukubwa wa F-16, mnapo sema swarm za drones mnamaanisha nini kwamba inabeba drone tano, kumi, mia au elfu?
What is the catch here! Carbon fiber or! fyi carbon fiber ni kwa ajili ya airframe lakini at the of the day drones hizo lazima ziwekewe engines whether ni internal combustion engines au gas turbine engines zote hizo lazima kwa kutumia madini ya chuma au aloyes zake
Nakuunga mkono kabisa, mm huwa nipo objective kwenye argument, sisukumwi na mapenzi au ushabikiKumbe ni raia 1000 tu wa syria ndo wameuwawa na urussi?vp Marekani na ushirika wake wameua watu wangapi Iraq, Libya, Syria na kote wanakofanya mashambulizi yao?
Marekani haijatupa bomu hata moja syria? Sio Marekani iliyokua inadondosha silaha kwa waasi wa syria waziwazi na kwenye TV ikionyeshwa, sio Marekani ambae baada ya urussi kuweka mtambo wao wa kutungulia ndege huko syria Marekani alikua anaomba clearance kwa urussi ili ndege zake zisishambuliwe huko angani? Hivi unajua unachoongea au unapotosha makusudi?Nakuunga mkono kabisa, mm huwa nipo objective kwenye argument, sisukumwi na mapenzi au ushabiki
Hivyo Nakuunga mkono kwamba America imeua raia wengi sana katika vita ilizoshiriki miaka ya karibuni, Iraq walifika karibu raia laki moja, achilia mbali Afghanistan na Libya
Hata hivyo hilo ulilolitaja sio center ya mjadala huu au maneno yangu uliyoyajibu, argument yangu ni kwamba watu wamekufa, watu 1000 ni wengi mno ndugu yangu, roho zao haziwezi kuhalalishwa na marekani kuua watu million
Lazima tulaani vikali mauaji hayo ya marekani na ya Russia, mm wakati wa George Bush nilikua anti American Kutokana na sera zile za kufanya ubabe kila sehemu
Lakini alipokuja huyu jaluo Obama, sikua na sababu tena ya kuichukia marekani maana sera zilibadilika, Arab league imempa pressure kubwa Obama kumtoa asad kwa mabavu lakini Obama amekataa shinikizo hilo, hata siku moja marekani haijatupa bomu kwa vikosi vya syria, ni daesh tu
Obama angetaka tangu 2011 uprising ilipoanza syria angeweza kumtoa kwa nguvu asad siku nyingi tu, lakini hakutaka kuingiza marekani kwenye vita kama vya Iraq na Afghanistan..
Hata Libya alikaa nyuma nyuma sana, ni France na UK ndio walianza kumtwanga ghadafi, marekani ikaingia wiki ya Tatu
Hivyo Obama anapaswa kupongezwa, Sina sababu ya kuichukia marekani kwa sasa
Above all, Obama amepatana na Iran, na yupo njiani kupatana na Cuba kidiplomasia, nitaichukia marekani kwa wakati husika akichaguliwa mtu mpumbavu wa sera kama za George Bush
Naomba tuacheMarekani haijatupa bomu hata moja syria? Sio Marekani iliyokua inadondosha silaha kwa waasi wa syria waziwazi na kwenye TV ikionyeshwa, sio Marekani ambae baada ya urussi kuweka mtambo wao wa kutungulia ndege huko syria Marekani alikua anaomba clearance kwa urussi ili ndege zake zisishambuliwe huko angani? Hivi unajua unachoongea au unapotosha makusudi?
Asante sanaNaomba tuache
Maana hakuna tofauti na wale wajenzi wa mnara wa babeli, mmoja anamuomba mwenzie koleo linaletwa jembe, anaeomba cement zinaletwa nondo, zikiombwa nondo yanaletwa mabati, hivyo ujenzi ukashindikana
Majadiliano yangu na wewe kwa kiasi kikubwa yanaelekea huko
Hivyo hatutafika
Asante
itakua ni vidrone vidoge kama vile vinatumika kupigia picha katika mikutano.Wanakaa kimya kwa sababu wanajua ukubwa wa F-16, mnapo sema swarm za drones mnamaanisha nini kwamba inabeba drone tano, kumi, mia au elfu?
What is the catch here! Carbon fiber or! fyi carbon fiber ni kwa ajili ya airframe lakini at the of the day drones hizo lazima ziwekewe engines whether ni internal combustion engines au gas turbine engines zote hizo lazima kwa kutumia madini ya chuma au aloyes zake
Rudi kwenye habari husika utapata majibu yote uliyouliza
Pia, wafuasi wenzio wa Russia hawapendi kusikia habari za marekani,
Taarifa kama hii ingekua inahusu urusi, hata tu urusi kutengeneza kitu kidogo tu basi ungeona wanakuja watu wengi sana kwenye uzi huo
Maboresho hayo kwenye f 16 sio madogo kama unavyojaribu kusema ndio maana yameripotiwa, ni hatua
Wao sio wajinga wakatengeneza kitu kisicho na maana
Narudia ingekua Russia kafanya hivyo mngechangia kwa bashasha
Na sio uzi huu tu nyuzi nyingi kuhusu America hamzitaki
Kwa hiyo kati yako ww elungata na pentagon tumwamini nani? Wewe? Ha ha ha ha ha, watoto wa jf ni kichefu chefu sanaitakua ni vidrone vidoge kama vile vinatumika kupigia picha katika mikutano.
Hata 3D printing ni tech ambayo siyo ngeni japo bado iko katika stage ya chini mno
ha ha ha,achana na yule mdada,nadhani aliwahi kuwa monitor darasan enzi yuko shule,Tangu lini forum discussion zikawekewa mipak ya jinsi ya kudiscuss?.Kwa hiyo kati yako ww elungata na pentagon tumwamini nani? Wewe? Ha ha ha ha ha, watoto wa jf ni kichefu chefu sana
Unatumia neno itakua ni vi drone vidogo vidogo ni technology ya kawaida, are you OK?
Wa marekani watengeneze hiyo technology waje waioneshe kama ugunduzi then ww from dar es salaam, most likely manzese uje useme ni ya kawaida tu?
Ni wazi kama ni kitu kidogo wala wasingesema wametengeneza technology flani.
Sasa nakubaliana na yule dada winnie waithera aliesema furaha yenu ni kusikia Russia imetengeneza kitu flan na sio america
Naomba nikupe siri
Ukiwa independent minded utaheshimika sana, I mean likija suala zuri kuhusu America unasifu, baya unasema pia, likija zuri la Russia unasema, likija baya inabidi useme pia, lakini ww elungata 1-31th January to December marekani mbaya kwa kila jambo Russia nzuri kwa kila jambo, huwezi kuwa mchambuzi huru kwa staili hiyo
You have to change
Sayansi hiyo marekani ni mbaya kila siku? Na Russia ni nzuri kila siku?N
Nilisha wambia hatusukumwi na itikadi au maduala ya vita baridi, hapa tunazungumza masuala ya sayansi, sayansi haina mipaka, tunacho angalia wao wanasema nini tunalinganisha tunayo yajua kisayansi hatuleti mambo ya siasa kutisha tisha watu na mambo ya kufikirika tu - wenzetu hawa tabia hizo wanazo sana.
huwa wanasema ukubwa jalala...Huenda ikawa hivyo, maana nimejaribu kufanya uchunguzi nikagundua hivyo, ukitupitia uzi unaosifu silaha za Russia mfano Russia Imetengeneza hiki na kile basi uzi huo utachangamkiwa sana,