Raytheon Wins 572Mln Contract to Supply US Military Air-to Air Missiles

Feb 9, 2016
74
153
Work on the contract will be performed at Tucson and is expected to be completed by February 28, 2019.

“Raytheon Co., Tucson, Arizona, has been awarded a $573 million modification on [a] previously awarded contract… [to] provide Advanced Medium Range Air to Air Missile (AMRAAM) production Lot 30 and other AMRAAM system items,” the announcement stated on Wednesday.

The AMRAAM missiles have been ordered by both the US Navy and the US Air Force, the Defense Department noted.
U.S. Republican presidential candidate Donald Trump addresses the crowd at a campaign rally in Farmington, New Hampshire January 25, 2016

Air-to-air missiles are regarded as essential for US combat aircraft expected to contest air supremacy over battle zones with the air forces of major nations.

The US Air Force and Navy have sought to expand their inventories of such weapons before being required to carry out such operations.



Raytheon Wins 572Mln Contract to Supply US Military Air-to Air Missiles
 
Hivi kwanini Tanzania inafanya mambo yake siri siri sijawahi ona contract ya nani anasupply siraha gani jeshini hata ndege sijawahi sikia nani kashinda tenda
 
Hivi kwanini Tanzania inafanya mambo yake siri siri sijawahi ona contract ya nani anasupply siraha gani jeshini hata ndege sijawahi sikia nani kashinda tenda
Sio siri mkuu, Kuna mashirika yanafuatilia hizo taarifa, yanajua Uganda kanunua nn mwaka huu, Kenya Hali kadhalika Tanzania

Sema huku kwetu no one pays attention
 
Duu kumbe wa marekani wako mbali sana, hadi wana makombora ya kukinga meli zao na ndege zao dhidi ya hata ballistic missiles!!
Yap, sasa hapa unaelezwa kuwa wanahitaji hayo makombora ya air to air ku maintain air superiority

Kumbuka kuwa marekani hadi sasa ndio anashikilia air superiority, hivyo ana upgrade ili hao wengine kila wanapomuiga wakute yupo one step ahead

Ni kama China, kila ndege au silaha anayotengeneza mchina ni exactly copy ya silaha za marekani, Ingawa pentagon inaamini silaha hizo hasa ndege ni mfanano wa nje tu content ni tofauti kabisa
 
Raytheon Wins 572Mln Contract to Supply US Military Air-to Air Missiles

Raytheon Wins 572Mln Contract to Supply US Military Air-to Air Missiles
Watu wanadhani akina urusi wanapounda silaha mpya, marekani kalala tu, sasa hivi ni kama vile zama za arms race zimerudi

Tofauti kubwa kati ya utawala wa kidemokrasia wa marekani na ule wa kidikteta wa urusi na China ni genuineness

Marekani siku zote huwa hawasemi uongo na wala hawana siasa wala propaganda linapokuja suala la utengenezaji silaha, ndio maana utaona manufacturer anaitwa na Congress na kujieleza, na kila hatua ya utengenezaji anaenda Congress kuhojiwa na kutoa ripoti ikiwemo za majaribio,
Hivyo silaha ikikamilika ikikamilika kweli na haina propaganda maana bunge la Congress linasimamia kazi hiyo kikamilifu

Ni katika process hii ya uwazi ndipo mapungufu ya f-35 joint strike fighter yaligundulika na Congress kuamuru yarekebishwe na tatizo likamalizika na sasa imeanza service Bila tatizo lolote

Hii ni tofauti na urusi na China ambazo ni authoritative regimes mtu mmoja ndie anaamua kila kitu, na ndipo hapa mwanya wa propaganda unapokuja, unastuka tu kusikia warusi wameibuka na silaha flan, ilitengenezwa lini na majaribio yamefanywa lini haijulikani
Lengo ni propaganda

Kwa Hali hii marekani itaendelea kushikilia ufalme wa dunia kwa Muda mrefu sana
 
Hivi kwanini Tanzania inafanya mambo yake siri siri sijawahi ona contract ya nani anasupply siraha gani jeshini hata ndege sijawahi sikia nani kashinda tenda

Nakumbuka wakati fulani wandisi wa habari watiwa kashkash kwa kupiga picha helicopter ya jeshi ilipowasili uwanja wa ndege, chopper yenyewe ilikuwa ya kawaida wala haikuwa Gunship!!
 
Back
Top Bottom