Recent content by winfredherman

  1. W

    Kuvurugika mkutano wa kinana kigoma-tafsiri yangu

    Nyie watu wa siasa kweli kazi mnayo,kwani hiyo 2015 hao wanaoichagua ccm watakuwa wamekufa? Au ndio kujipa moyo kwa mawazo ya ajabu. Nivyoona mm itachukua miaka hadi 50 upinzani kuongoza Tanzania, sababu nyanja zote ccm wameshika, wapiga kura, tume na yote ambayo upinzani unasema yarekebishwe...
  2. W

    Maajabu yaliyotokea Chalinze!

    Mtaongea sana mpaka mate yawakauke. Mmesahau kuwa mji wa Roma kaukujengwa kwa siku moja! Wewe Mwenye akili unamaendleo gani? Fanyeni kazi.
  3. W

    Yaliyojiri katika Uchaguzi mdogo jimboni Chalinze - Aprili 6, 2014

    Lakini mbona m/kitu wetu mboi mbona hajatuelekeza. Sijui tufanyeje kweli tumeibiwa kabisaa! Ila kwa kuwa hatukutumia chopa ndio maana tumeshindwa. Ila kiukweli tumeshindwa %10?
  4. W

    Yaliyojiri katika Uchaguzi mdogo jimboni Chalinze - Aprili 6, 2014

    Heee! Bado kasi ya chopa3 kata3 inafanya kazi. Ni wivu tu, wanaomba wangekuwa wao lakini haiwezekani.
  5. W

    Yaliyojiri katika Uchaguzi mdogo jimboni Chalinze - Aprili 6, 2014

    Hii kauli ilianza kutumiwa na upinzani yangu 1995 hasa majimbo wanayoshinda ccm sijui Kwanini? Hivi upinzani huwa hawaibi sijui, mbona upinzani wamejaa waliotoka ccm, au wakihamia upinzani wizi unakoma. Mmmmmm!
  6. W

    Yaliyojiri katika Uchaguzi mdogo jimboni Chalinze - Aprili 6, 2014

    Kwani wakati slaa na tundu lisu wanawaweka wake zao kuwa wabunge v.maalumu cdm hawakuufikiria huo ufalme. Wewe ndio Umeanza kuuona? Tuwaache watoto watimize ndoto zao, mbona waalimu wengi watoto wao wamekuwa waalimu kama wazazi wao mbona hamsemi, inakuwaje nongwa kwa ubunge? Anza na akina slaa...
  7. W

    Yaliyojiri katika Uchaguzi mdogo jimboni Chalinze - Aprili 6, 2014

    Kweli kabisa hii nimeipenda, slaa akitoka mkewe anachukua vitu maalumu, Tundu akitoka mkewe anachukua . Kweli ufisadi kwenda mbele.
  8. W

    Yaliyojiri katika Uchaguzi mdogo jimboni Chalinze - Aprili 6, 2014

    Mbulula ni ninyi na akina slaa na mliopeleka washindani kwenye jimbo la mrithi. Mmetumia garama huu ndio umbulula!
  9. W

    Yaliyojiri katika Uchaguzi mdogo jimboni Chalinze - Aprili 6, 2014

    Kwa mawazo haya hata baba akiwa mwalimu hairuhusiwi mtoto kufuata nyayo, kumbe basi kina slaa, lisu, waliwarithisha wake zako vitu maalumu cdm . Haya naona ni mawazo mgando, kikubwa tuwape watoto wetu uhuru na msaada wa kufikia ndoto zao.
  10. W

    Yaliyojiri katika Uchaguzi mdogo jimboni Chalinze - Aprili 6, 2014

    Sasa kama ni mrithi Kwanini UKAWA walipeleka wagombea wao, au unataka kutuchanganya tu?
  11. W

    Naibu Katibu Mkuu UVCCM Aimaliza CHADEMA Singida, Katibu kata Shaban Juma ahamia CCM

    Yaani cdm wakiishiwa huwa wapole kweli, leo mnadharau vchaguz vya chalinze wakati kwa nasari mlipayuka kiasi kile,mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni, sisim imewabwaga chlnze na kalenga hata umaarufu wenu umeshuka sana. Hamjasahau tu yale ya chopa3 kata 3 kweli huku ni kupoza kwanza au...
  12. W

    Baba kutembea na mwanae wa kike

    Hii ni laana mbaya, yaani mwisho wa maisha wa huyo baba hauwi mzuri. Biblia haijaruhusu baba kumuoa mwanae. Hii kesi ni MUNGU pekee atakaye ihukumu. Pia maadili yameporomoka sana wazazi na watoto wao wa kike wameongeza ukaribu mno na vivazi vya ajabu ajabu, eti wanaenda kizungu. MUNGU atunusuru.
  13. W

    Mume wa kiislam anahitajika

    Mimi nina sifa,ntakupataje?
Back
Top Bottom