Baba kutembea na mwanae wa kike

Baba kutembea na mwanae wa kike

dunia imefikia ukingoni nilishuhudia siku moja msasani beach club binti na baba wamekaa meza moja na binti kavaa bikini halafu baba akipigiwa simu binti anaona wivu anahoji !binti alikuwa under 20 it was quite a scene

Aisee hii nayo aibu kweli
 
Sio nchi yetu tu sema dunia yetu. Hakuna nchi ambayo huniacha hoi kama Zimbabwe. Kuna kisa kimoja sitakisahau kamwe.
Baba mmoja alizaa na kulea mtoto wake wa kike hadi akipofikia kubalehe, akamtongoza na kuanza kutembea naye. Kisha akampa mimba bintiye. Mimba ikakua baadaye akajifungua salama mtoto mzuri wa kike. Wakamlea akakua akafikia kubalee. Amini msiamini baba yule yule akamtogoza mtoto aliyezaa na bintiye naye akaanza kutembea naye! Umeipata hiyo?

uwiii hii nayo ngumu kumeza, kuna mambo ambayo dunia inafanya hadi huyo shetani anashangaa!!
 
Sio nchi yetu tu sema dunia yetu. Hakuna nchi ambayo huniacha hoi kama Zimbabwe. Kuna kisa kimoja sitakisahau kamwe.
Baba mmoja alizaa na kulea mtoto wake wa kike hadi akipofikia kubalehe, akamtongoza na kuanza kutembea naye. Kisha akampa mimba bintiye. Mimba ikakua baadaye akajifungua salama mtoto mzuri wa kike. Wakamlea akakua akafikia kubalee. Amini msiamini baba yule yule akamtogoza mtoto aliyezaa na bintiye naye akaanza kutembea naye! Umeipata hiyo?

pyuuu,hii kali lakn hailewesh mweh
 
Hii inalenga kudhalilisha wanaume. Mbona watoto wa kihindi wa kiume wanajifunzia kwa mama zao na ni kawaida tu ?
 
Eehh Allah tuepushe na haya majanga.

Yes, kuna visa vingi sana, tuliopo zamani tulikuwa tukiyasikia tu na yalikuwa ni mambo ambayo tukiyaita ya kishenzi na kishirikina, lakini sasa dunia inabadilika kwa haraka, tunayaona kwa macho.

Licha ya kuwa kuna kila sababu za kishirikina, pia kuna sababu za kimaadili. Maadili yamekuwa duni na dhaifu sana, leo mtoto anavaa suruali imembana makalio halafu anamuuliza baba'ke "how do I look Dad?" imagine mababa wenyewe ndio hao walevi na mabazazi. What do we expect?

Ikiwa leo dini ambazo tunategemea ndio ziwe chombo cha kwanza cha kufunza mema na mabaya tunakuta hao hao kwenye uongozi wa dini ndio wanaruhusu ndoa za jinsia moja, wao wa kwanza kuharibu watoto, wao wa kwanza kulawiti na kulawitiwa na watoto. What shall we expect?

Juzi nimesoma habari, Umoja wa Mataifa unalilaumu Kanisa Katoliki kwa kukataa kuwawachisha uongozi mapadre na maaskofu waliowaharibu watoto kwa makusudi kabisa. Tutegemee nini ikiwa Kanisa kubwa duniani lipo mstari wa mbele kuharibu watoto mpaka Umoja wa Mataifa unaingilia lakini wapi, wameshikilia uzi uleule.

Hivi hao Wazee waliokwisha-fanyiwa hivyo na mapadri (aka Mababa wa Kanisa) toka utoto wao, watakuwa si wanaona kawaida tu na wao kuwafanyia watoto zao. Fikiri.

Maadili, maadili, maadili.

Ungekuwa fair kama ungewataja na masheikh na maustadhi wanaolawiti, otherwise unasumbuliwa na ugonjwa wako sugu wa religion hatred.
 
Kula mtoto wako? Siwezi kuelewa hii.

Hili jambo lipo lakini halina ushaidi ni vigumu kuthibitisha tuhuma hizi ila wapo wanaokula watoto zao na wana wivu balaa na mara nyingi mabinti wa aina hii uzeekea nyumbani bila kuolewa.
 
ni haki baba mzazi kutembea na mtoto wa mkewe ambaye hakuzaa naye. dini ya kiislam inaruhusu hilo kumuowa binti wa mkeo na mtume mohamad alifanya jambo hilo
 
ni haki baba mzazi kutembea na mtoto wa mkewe ambaye hakuzaa naye. dini ya kiislam inaruhusu hilo kumuowa binti wa mkeo na mtume mohamad alifanya jambo hilo

You can say it again.....:what::what::what:
 
Ungekuwa fair kama ungewataja na masheikh na maustadhi wanaolawiti, otherwise unasumbuliwa na ugonjwa wako sugu wa religion hatred.

Sijasikia Masheikh na Maustadh ikawa ni disaster mpaka ikafikia UN. Hapa hakuna cha hatred, hapo ni ukweli mtupu na ungefunguka kidogo ukauona huo ukweli kutoka ndani ya moyo wako, mficha maradhi kifo humuumbuwa. Leo mpaka Umoja wa Mataifa inaingilia kati halafu wewe unataka kutetea nini?

Jisomee: UN denounces Vatican over child abuse and demands immediate action | World news | theguardian.com
 
Hii ni laana mbaya, yaani mwisho wa maisha wa huyo baba hauwi mzuri. Biblia haijaruhusu baba kumuoa mwanae. Hii kesi ni MUNGU pekee atakaye ihukumu. Pia maadili yameporomoka sana wazazi na watoto wao wa kike wameongeza ukaribu mno na vivazi vya ajabu ajabu, eti wanaenda kizungu. MUNGU atunusuru.
 
Wakuu
picha hizi za mnato zinaonesha Shule ya Msingi Ikwazu iliyoko Kijiji cha Ikwazu kata anayotokea bwana mkubwa.
View attachment 148439
Hichi kibanda kinachoonekana miti tu hapa chini ambacho unaweza kukiita jengo ukipenda, kilikuwa ni nyumba ya Mwalimu ambaye amelazimika kuhama baada ya jengo hilo kubakia hivyo lilivyo.
Kwa hali hii kuichagua ccm ni kujidhalilisha
View attachment 148443
Kahamia sehemu moja inaitwa Kimange ambapo kidogo ni centre lakini ili afike shuleni hapo anapaswa kusafiri mwendo wa takriban km 25 kwenye njia mbovu inayohusisha majaruba. Ujinga huu wa ccm ulinifanya niukatae na kukata tamaa ya kushika kalamu.

Ni katika njia hiyo msafara wa Chadema uliokuwa unakwenda Ikwazu kwenye kampeni za nyumba kwa nyumba, mtu kwa mtu na mkutano wa hadhara ulilazimika kuacha magari na kutembea kwa miguu ili kuweza kufika upande kijijini hapo. Ilikuwa ni baada ya kukwama kweli kweli kwenye zile njia/majaruba.
Picha zingine zinaonesha madarasa na majengo ya shule hiyo ambayo ina madarasa saba mwalimu mmoja.
Picha zingine zinaonesha mandhari ya kijiji chenyewe cha Ikwazu. Needlessly to say...one could witness the highest level of poverty.
Kwa mazingira haya ambayo yanawakilisha maeneo mengi nchini, CCM na Kikwete walipaswa kuwa positive na kukubaliana na wazo la Dokta Slaa juu ya sera ya kuboresha makazi kwa wananchi kwa kupunguza au kuondoa kodi kwenye bidhaa za ujenzi km nondo, mabati, saruji na mbao ili wananchi wamudu kujenga makazi bora.
Mtakumbuka wakati ule Dokta Slaa alisema kwa standard za kimataifa, makazi duni ni dalili za nchi kuwa na umaskini.
Wananchi katika maeneo hayo wamehoji inakuwaje Mwenyekiti wa CCM anaweza kupata ujasiri wa kutumia mamilioni kujenga jengo la kuchezea ngoma lakini ameshindwa kusaidia watoto kupata mazingira ya kupata elimu bora au wananchi kupata makazi bora.
Wanahoji CCM wanapata wapi ujasiri wa kuja kuomba kura tena kwa kumtanguliza mgombea asiyejua wananchi hao wanaishi na kuvumilia matatizo gani, maana maisha yao na yake ni mbingu na ardhi.

View attachment 148449

NAMNA CHADEMA ILIVYOSHAMBULIA KWA KIKWETE- MAENEO YOTE HAYO YAKO KWENYE KATA INAKOISHI FAMILIA YA RAIS KIKWETE
Hapa Kamanda Mathayo Torongey akimwaga sera za chama chake kwa wananchi wa Lugoba.

View attachment 148452 View attachment 148453

Hapo juu Kamanda Mathayo Torongey akisalimiana na maelfu ya wananchi wa Lugoba kwenye kampeni zilizofanyika Lugoba.
View attachment 148455

Mgombea wa ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mathayo Torongey akisalimiana na mmoja wa wakazi wa kijii cha Makombe juzi.
Mgombea wa ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mathayo Torongey, akiwahutubia wananhi wa kijiji cha Goba katika mkutano wa kamoeni juzi.
Mgombea wa ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mathayo Torongey, akisdalimiana na wananchi wa kijiji cha Lugoba, baada ya mkutano wa kampeni kijijini hapo juzi.

CHAGUA CHADEMA, CHAGUA UZALENDO

Napita
 
Sijasikia Masheikh na Maustadh ikawa ni disaster mpaka ikafikia UN. Hapa hakuna cha hatred, hapo ni ukweli mtupu na ungefunguka kidogo ukauona huo ukweli kutoka ndani ya moyo wako, mficha maradhi kifo humuumbuwa. Leo mpaka Umoja wa Mataifa inaingilia kati halafu wewe unataka kutetea nini?

Jisomee: UN denounces Vatican over child abuse and demands immediate action | World news | theguardian.com

Kwa hili wakorintho tunatia aibu kwa kweli. Ni chungu kumeza lakini habari ndio hiyo. Mashehe mapadri wote hufanya uchafu, lakini wakristo kupitia viongozi wa makanisa tunatia aibu
 
ni haki baba mzazi kutembea na mtoto wa mkewe ambaye hakuzaa naye. dini ya kiislam inaruhusu hilo kumuowa binti wa mkeo na mtume mohamad alifanya jambo hilo

Aisee lakini mtoto wa mkeo si mtoto wako!!
 
Acha kufuatilia maisha ya watu. Unadhani wenyewe hawajui hilo? Fanya yako, usawa mbovu huu, vyuma vimekaza, mpaka nafikiria kuwa dalali au MC nipate pesa za bwerere ambazo TRA hawazitozi kodi.
 
Hii inalenga kudhalilisha wanaume. Mbona watoto wa kihindi wa kiume wanajifunzia kwa mama zao na ni kawaida tu ?
Tufanye kazi, hayo mengine tuwaachie wahindi, hata wakiamua kutifuana tope ni yao sisi hapa kazi tu. Dar tumeamua kumuunga mkono Mhe. Bashite kwa kupanda miti kipiindi hiki cha mvua ili kusudi tusipate shida ya njaa (matunda) na kivuli wakati wa ukame. Asanteni.
 
Back
Top Bottom