Recent content by wined

  1. wined

    Nimeamini USA ni kubwa la Dunia, Tamko la Trump tayari limeonyesha effect kwenye familia Yangu

    Mbona wa africa huwa baadhi yetu wanafurahia sana anguko la mtu mwingine?
  2. wined

    Usipokuwa makini utajikuta unachangia harusi 5 hadi 6 kwa mwezi

    Kutoa ni moyo. Toa unapoweza au unapokuwa na nafasi . Una uhakika hata watoto wako wakioa au kuolewa utajimudu? Yani sisi utatuarika kuja kula tu ?
  3. wined

    Utafiti: Watu ulimwenguni kote wanapoteza furaha kadri miaka inavyokwenda

    Miaka inavyoenda furaha inapotea yani upoteza ladha ya maisha ili kuelekea mauti.
  4. wined

    Ubinadamu unapo ingia kwenye maslahi ya wakubwa, na kupelekea tafrani

    Angalau kila siku stori moja ya kijasusi . Tutakushukuru sana
  5. wined

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Wewe acha zako ebu shusha huo uzi .tunataka hiyo stori bana
  6. wined

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Acha tu lakini nilijifunza kukubali uamuzi wa mwenzangu japo nilifanya mistake miaka miwili baadae kwani nilimla 2 times
  7. wined

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Umenikumbusha mbali sana jinsi mwalimu alivyo nizidi kete,kumpiga mimba na kumuoa binti ambae nilimtoa bikra na tulikuwa na ahadi ya kuoana. Wanaosema bikra ni wako mwenyewe huwa nawachungulia na kusema iiiiiiiiiiiiiiii .
  8. wined

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Achana na kujibu coment we shusha
  9. wined

    Hivi kuna ukweli kwamba, mtu anakuwa na hela nyingi halafu hana furaha?

    Kuwa tajiri kuna faida nyingi mara elfu kuliko kuwa masikini. Kifupi hkuna faida ya kuwa maskini.
  10. wined

    FT: Yanga SC 5-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 31.12.2023

    Yanga inafunga mwaka kwa historia ya ajabu sana leo
  11. wined

    Nionavyo Mimi: Huwezi kuwa na mwanamke mkali wasikupigie

    Huwezi kuoa mwanamke mzuri wewe!! Wache walioa wafurahie matunda ya uumbaji. Wewe pambana na sura yako petsonal. Ulichagua mwenyewe
  12. wined

    Acheni kutoa siri zenu za unyumba,mnaharibu ndoa zenu

    HAKIKA 2024 NDOA NYINGI MNO ZITAFUNGWA.
Back
Top Bottom