Watu wakoshalala kitanda kimoja na kushiriki kula tunda hawawezi kuachana, hata wakiachana inakuwaga ni kwasababu ya kupishana tuu kauli lakini kiundani kila mtu humkumbuka mwenzie na wakikutana lazima wakumbushie
Aisee, nikadhania niko pekeangu,
Nilifiwa na kaka yangu aliyekuwa mbali sana na kwetu hivyo siku za msiba zikawa siku 5 kusubiria maiti ifike, baada ya mazishi tuu hata ndugu hawajaondoka nikashangaa mtu anasema huu ndio muda mzuri kwangu nirudi nyumbani mkishakaa sawa ndio nirudi,
Hapo ndipo...
Mkuu hapa umeongezeka kila kitu nimekuona kwa huyu,
Aisee, kumbe ni janga kwelikweli, mpaka nishawaza kutafuta niongeze mke mwingine, hakuna kitu kinakera kama kuona mwanamke ndo anapambana kujifanya ndio contoller wa familia kimaamuzi na kupinga mawazo ya baba,
Halafu pia watu wa aina hii...
Habari zenu wakuu, naomba kupata dokezo ni changamoto zipi mlikutananazo kwa wale waliooa mabinti waliolelewa ma mzazi mmoja? Hasa mama pekee baada ya ndoa ya wazazi wake kuvunjika au kuoa wanawake wengine (polygamy)
Mahusiano ya aina hii yapo wakuu,
Unakuta mtu unampenda dem, halafu akishajua unampenda yeye anataka kukuona unateseka kwa ajili yake, utampa zawadi utasaizia familia yao lakini akiona hauteseki anajua bado haumpendi, ila akiona unefikia level yeye anavaa vizuri halafu wewe umekosa hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.