Recent content by Win

  1. W

    JamiiForums Tanzania Msako wa wamiliki wa visima wasiovilipia ada ya matumizi waja

    Mimi kama mlipakodi wa miaka mingi tu naomba serikali iwe na busara kidogo. Kuna maeneo mengi sana huku Dar es salaam na hata usitaje miji iliyopo nje ya Dar ambao wote hatuna maji salama. Hii ni kazi ya hii wizara kuhakikisha tuna maji salama. Ok sawa so wengi wetu tumejiongeza kwa kuchimba...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kila mtanzania atapaswa kumiliki laini moja ya simu, ukitaka ya pili unaomba TCRA

    Full control wakitumia draconian laws. Mungu atusaidie.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli miti hujongea/kuwasiliana na kuna aina fulani ya miti ina miujiza?

    Habari wakuu. Hii thread nimeipenda sana na nimejikuta nakumbuka research iliyofanywa nadhani uki google utaipata. Hii research ni kwamba waliandaa vyumba viwili na kuweka aina moja ya musiki( hard rock) kwenye chumba kimoja na soft music kwenye chumba kingine. Baada ya hapo wakaingiza mimea...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Gari ya Kukodi Aina ya Suzuki Carry

  5. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Why should Magufuli reject Sylvia Mulinge as Vodacom CEO

    Your kind of thinking will always make us second to Kenya. We should not cower and run away from market challenges, but rise higher that those challenges. Global integration is already here and you can never say Tz will remain an island. This is why we need new way of thinking. Being ahead of...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Nimemchoka ila nashindwa kumwambia

    Subutu kumwambia umemchoka....hapo ndo utajua ana mimba yako.
  7. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wateja milioni 2 wadaiwa kuhama mtandao wa Safaricom, baada ya kutuhumiwa na Raila Odinga kushiriki kuiba kura

    Fake news. Shame on you!
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mayai ya kisasa tray 100 yanauzwa

    Nimekujibu kwenye inbox yako.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mayai ya kisasa tray 100 yanauzwa

    Angalia inbox yako
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mayai ya kisasa tray 100 yanauzwa

    7000 -7500 kwa tray, 8000 bei ya rejareja
  11. W

    JamiiForums Tanzania Marufuku kuajiri Mhasibu asiyesajiliwa - NBAA yaomba majina ya wote walioajiriwa kinyume cha sheria

    Ndio. Accounting package ambayo ni kwa ajili ya simple management. CPA holder nitamtafuta kipindi cha kufunga hesabu za mwaka
  12. W

    JamiiForums Tanzania Marufuku kuajiri Mhasibu asiyesajiliwa - NBAA yaomba majina ya wote walioajiriwa kinyume cha sheria

    Account package ipi rahisi kutumia kwa sisi tusio na ujuzi? Maana mpaka kuajiri mtu wa CPA lazma biashara iwe imekaa vizuri
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mayai ya kisasa tray 100 yanauzwa

    Mayai ya Kisasa yanapatikana kwa wingi Jumla na rejareja ( Jumla ni kuanzia trei 70). Tuma meseji kwenye inbox tuwasiliane. Jumla 7000 -7500 kwa tray, 8000 bei ya rejareja
  14. W

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Salama Condoms ni muhimu kutumia ili kujikinga na maradhi ya ngono
  15. W

    JamiiForums Tanzania Marufuku kuajiri Mhasibu asiyesajiliwa - NBAA yaomba majina ya wote walioajiriwa kinyume cha sheria

    Asante hili nitaifanyia kazi I say...I hope hawatamsumbua karani wangu
Back
Top Bottom