Recent content by WIMICKY

  1. WIMICKY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta kioo cha sony 10iii

    Habari wakuu nina sony 10iii ilianza kuonyesha arama kam kotone ka wino kwenye kioo kadri nilivozidi kutumia na yenyewe ikawa inazidi kujaa wino kwenye kioo saa hizi hata siwezi kutumia tena na nipo mara nahitaji kioo chake
  2. WIMICKY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Skrill account restricted

    Asante kiongozi
  3. WIMICKY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Skrill account restricted

    Oh nashukuru mkuu ndo maana
  4. WIMICKY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Skrill account restricted

    Namaanisha hizo taarifa ziwe mkononi ndo nizipige picha siyo zipo online sasa maana ake nikiomba taarifa bank halafu ni print ndo nipige picha nitume
  5. WIMICKY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Skrill account restricted

    Sasa hizo zote wanataka hard copy siyo soft copy
  6. WIMICKY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Skrill account restricted

  7. WIMICKY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Skrill account restricted

    Nilituma leseni,nikatuma card ya mpiga kura nimetuma card ya bank sasa sijui na hivo vyote majina yapo sawa na niliyofungulia akaunti
  8. WIMICKY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Skrill account restricted

    Nikituma napewa masaa 24 baada ya hapo wanarudisha email kuwa hajafanikiwa
  9. WIMICKY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Skrill account restricted

    Nitumie vpn ninapo tuma hizo taarifa?
  10. WIMICKY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Skrill account restricted

    Habari naombeni msaada wenye ujuzi na skrill akaunti yangu imezuiwa taarifa wanazozitaka kila nikituma narudishiwa email kuwa zimekataliwa sijafahamu nakosea nini mwenye uelewa zaidi anisaidie
  11. WIMICKY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mko pouwa jamani
  12. WIMICKY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilikuwa mdau mkubwa wa Vpn za free internet ila nikasanda, nililazimika nizihame moja kwa moja, kutumia vpn hapa bongo yahitaji moyo

    Mm Kuna Moja natumia Sasa huu mwezi 3 kimya kimya
  13. WIMICKY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu kwema
  14. WIMICKY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mwenye namba ya wakala Lukasi
Back
Top Bottom