Copied
🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪
GERMANY BIDS FAREWELL TO ANGELA MERKEL :-
With six minutes of warm applause, on the streets, balconies, windows, the whole Country applauded for 6 minutes - spectacular example of leadership and defense of humanity, chapeaux !
The Germans elected her to lead them, and...
Niliwahi kusoma na vijana ya mataifa jirani, waliokuwa wanashangaa yaani kukaa wiki mzima hamjasikia milio ya bunduki ni ajabu, waliokuwa wanashangaa sana hapa kwetu, hii ni sifa kubwa kwa jeshi letu la ulinzi na usalama.
Hoja yangu kwenu sasa hivi kuna wimbi la kelele ambazo hazikuzoeleka "...
Mh. Salvatore Mabeyo hongera sana, kama si wewe tusingefika hapa tulipo, nikuombe kwa muda utakaopewa na Mungu wa kuishi uandike kitabu na ueleze yote uliyoifanyia Tanganyika. Kutoka kwenye Uvungu wa moyo wako utuambie yote mema na mabaya ili utuachie Historia sahihi ya utumishi wako.
Ahsante Mh. Japho unafanya kazi nzuri, angalizo weka mkazo wawekezaji wasije tu kutumia mali ghafi na chieap labour halafu wanaandike bidhaa main in China au sehemu nyingne kama kimetengenezwa hapa kianishwe made in Tanzania au hata magari kama yametengenezwa au kuwa assembled Tz iainishwe, ni...
"Ndiye katufikisha hapa" Kama ndivyo heko kwake; nimebahatika kuishi na kuwaona maRais wote wa Mchi yetu mpaka sasa, Nyerere hatumlaumu kwa kuifungia Nchi kwenye umaskini, Mwinyi hatumlaumu kwa ruksa ya watu kujitafuta, Mkapa halaumiwi kwa kuuza makusanyo ya Taifa, John halaumiwi kwa kuunda...
Ni kweli yeye ndiye Rais Msitaafu aliyebakia anaijua Tanzania na anaijua CCM kuliko wengi wetu au niseme wengine wote, katika kukwama au kufanikiwa kwa baadhi ya Mambo utasikia ni ushauri wa Kikwete,
Aah Huyu shujaa alifanya mengi sana mazuri na kwa kuwa anaipenda Tanzania hawezi kuona Mambo...
Bila Shaka CCM imetafakari vya kutosha na kesho muda wa uchaguzi mkuu unaweza kusogezwa ili kuondoa sintofahamu ambayo inaweza kutukuta endapo tutalazimisha kuendelea na hali ilivyo.
Miaka miwili ya mpito inatosha kurekebisha katiba ya CCM na katiba ya Taifa inayosubiri kwa zaidi ya miaka 10...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.