Usije ukafanya hicho kitu katika maisha yako maana utakijutia siku zote ulizobakiza hapa duniani, epukana na huyo shemejio kwa gharama yeyote mkuu...! Ni hayo tu..
Kaka hilo swala ni nyeti sana mkuu, wengi watakushauri ila ukweli utabaki palepale kwamba mtoto kapigwa!! Sisi tutakushaur lakin we ndo utakaeishi na huyo mwanamke, kikubwa usikilize moyo wako!!!
Obama wa bongo Mimi nimekupata vizuri sana, ila kuna kitu kimejengeka kwa baadhi ya watu kuwa "Behind every success there is a crime" Unalionaje hili?????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.