Ila simba mapaka sasa yanawarudia wenyewe, mtakoma miakaa hii, Yanga ileeeeeee inayoyoma, mtaishia mchani tu na mwakani tumo tena kimataifa zaidi. VPL tunachukua kulinda heshima.
Simba ligi Kuu VPL yanini wakati mna miaka zaidi ya 10 hata nafasi yapili hamshiki, si bora muwaachie majimaji ya Songea wanalizombe walau wanaweza kuonesha mabadiliko kuliko nyie mlizoea matopeni.
Hakika siasa ni mchezo mchafu, na watu kama bwana yule ndio wanaotumika vibaya mwishowe uachwa kwa Aibu kubwa, mpk sasa bwana yule amejivunjia heshima kwa watz wengi. Aibu yake aibu ya familia yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.