Recent content by Wilson benard

  1. W

    JamiiForums Tanzania Ninunue simu ipi kati ya hizi kwa bajeti hii?

    A series ni kama tecno tu
  2. W

    JamiiForums Tanzania Degree ipi ya ualimu ni nzuri?

    Angesema yeye kasoma combination ipi hapo ingekuwa rahisi kusaidiwa
  3. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa GPA wakuu

    Aanzie 3.5 na kuendelea
  4. W

    JamiiForums Tanzania Ninaomba msaada wa kimawazo wa kozi bora ya sayansi

    Kozi ya MD mwambie aachane nayo tu kwa sababu ushindani ni mkubwa sana hasa ufauli ukiwa wa kawaida MD wengi ni wale wenye Div 1 vigezo vya serikali ni C ya bios,C ya chem na D ya phys lakin vyuo vingi hawachukui ufaulu huu cha kufanya kutokana na tatizo la ajila kutoeleweka bora akasome hata...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata matokeo ya mwanafunzi anayesema amesahau namba yake?

    kazi rahisi mno wapigie simu walimu wa shule aliyosoma kule kuna namba na majina
  6. W

    JamiiForums Tanzania Chuo gani kinatoa online degree?

    Open university of Tanzania
  7. W

    JamiiForums Tanzania C+E(3+1)=4, Jamani hizi zinakuwezesha kuchukua degree usiwe na mashaka

    Mkuu hawezi maana hana point 4 kwenye masomo mawili.D=2,E=1,D+E=3.
  8. W

    JamiiForums Tanzania C+E(3+1)=4, Jamani hizi zinakuwezesha kuchukua degree usiwe na mashaka

    Mkuu ce unachaguliwa mi mwenyewe niko chuo kikuu kwa ce
  9. W

    JamiiForums Tanzania Zifahamu shule za A-Level za serikali na combination zake

    Kweli hii ya zaman sana.mfano shinyanga saiv kuna shule 2 zote ni shinyanga moja boys nyingine boys advance ila o-level ni mchanganyiko.boys walishaongeza michepuo ya PGM na HGL
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mliooa na mnaopata mshahara wa Tshs. 300,000 au chini ya hapo mnawezaje kumudu familia?

    Mmenikumbusha nishawahi kufanya kazi morogoro mshahara ulikuwa elfu 25 kwa mwezi.chumba elfu 5kwa mwezi kula mchana kwa bosi.usiku jitegemee.hapo hujanunua nguo.nyumbani wanapiga simu kuomba hela, bado mchepuka.kuna cku nilijaa hasira boss nikamwambia kazi ya kijinga hii siiwezi nikaachana...
  11. W

    JamiiForums Tanzania First year washaanza kukinukisha mitandaoni

    Nilie soma memkwa ngoja nitulie
  12. W

    JamiiForums Tanzania Nani ana sababu zaidi ya hizi

    Taaluma ya ualimu ni kuchoshana et mtu kasoma pcm.kasoma intergration, differentiation, differential equation, complex number halafu anafundisha form one hiyo ni haki?
Back
Top Bottom