Ni kweli, lakini Bora ukawa mwaminifu ukamwambia ukweli, mfano unaweza ukakutana na mdada ana matatizo sana mfano kafiwa na wazazi wake Hana amani, ukamfariji wakati wote, akajisikia faraja na akazidi kukupenda na kutamani kuishi nawe, zaidi akakueleza nia yake ya kuishi nawe kama wapenzi...