Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, nina elimu ya IT ngazi ya DIPLOMA,ninauzoefu wa Miaka 6 katika fani hii,nina uwezo wa kufanya computer mantainance and repair,networking,production programing, PDA programing blog designing and datta cleaning, pia nauzoefu katika kufanya tafiti mbali mbali...