TOYOTA RAUM INAUZWA ipi katika hari nzuri

TOYOTA RAUM INAUZWA ipi katika hari nzuri

willylikes

Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
16
Reaction score
0
Gari hii ipo katika hari nzuri

TOYOTA RAUM.
Year 1997.
CC. 1490
Model no E-EXZ10.
Spoetslimz,A/C,Air bag
Colour: blue
Km:98220
Tsh 8,000,000/=
Weekday napatikana posta kama utahitaj kuliona gari, na weekend napatikana Tabata chama ya mawenzi
Contact: 0715955010
0782955010
 
Hiyo bei yako ni kubwa sana
Mkuu. Hasa kwa huo mwaka.1997 Nakushauri upunguze bei angalau kwenye 5mil. Raum ya 2004 iliyopo katka hali nzuri ni kama $ 3.1 Cif ukiagiza japan Mpaka iwe barabarani ni kama 9.5 milioni.
 
Asante kwa ushauri,lakn hashuki kaka inasimamia hapo hapo ml 8
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom