Recent content by willy xengo

  1. willy xengo

    JamiiForums Tanzania iCloud: Ni vipi naweza kuondoa kwa simu?

    habar yako..iyo mambo n rahisi sana ila tricky kidogo..niliuziwa iphone 4 ilikuwa ina icloud na nilihangaika sana na nikafanikiwa kuitoa..iko hiv.. ingia settings>icloud..ukishafika kama find my phone iko on..uwe unatap delete account na cancel usichoke fanya hivyo mara...
  2. willy xengo

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliochaguliwa SUA tuonane hapa

    iyo screen test ndo nn..na accomodation inakuaje..me ndo naingia first year..
  3. willy xengo

    JamiiForums Tanzania wale wa TCU ingieni kwennye profile zenu kujua mmechaguliwa chuo gani na coz gan

    kweli wametoa bana..daah! tulisubiri sana..thanks
  4. willy xengo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yameguka vipande viwili

    yan ccm inashinda vizuri tu..tatizo la vijana tunaathiriwa sana na ushabiki bila kuangalia na kutasmin mambo kiundan..tusiwe bendera vijana tanzania n nchi inayo endelea n maendeleo yapo..vijana tunadanganywa eti tutapewa ajira bila kujiongeza mwenyew utaendelea kulia kila siku..kama tunataka...
  5. willy xengo

    JamiiForums Tanzania Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

    hebu niambie sababu kidogo maana daah! niko njia panda hapo..
  6. willy xengo

    JamiiForums Tanzania Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

    Kama kuna mtu anayefahamu chochote kuhusiana na iyo faculty​ anisaide..asanteni members
Back
Top Bottom