Recent content by Willima

  1. Willima

    Wanawake ni viongozi na wasimamizi bora wa jamii na nchi

    Kumekuwa na mtazamo wa kimazoea hasa Katika nchi za Afrika, Kuwa mwanamke hawezi kusimamia jamii na nchi kwa ujumla, maranyingi mwanamke huonekana kama mtu ambaye uwezo wake wa kusimamia hutegemea muongozo wa mwanaume na Kuwa mwanamke mwenyewe hawezi kusimamia na kufanya maamuzi hata Katika...
  2. Willima

    Wanawake wana haki ya kubaki na majina yao ya ukoo (surname) baada ya kuolewa

    Wanawake kubadili majina yao ya ukoo (surname) baada ya kuolewa na kufuata majina ya waume zao ina onyesha au kuashiria hali ya utegemezi wa mwanamke kwa waume zao, mwanamke kufuata jina la mume wake baada ya kuolewa kunaashiria kuwa yeye ni mali ya mwanaume (mume wake), na anakosa mamlaka ya...
  3. Willima

    Ndoa kama chaguo bora zaidi kwa vijana wa kike

    Watafiti wamezungumzia suala la ndoa kwa vijana wa kike, kasikazini mwa Tanzania, wameonyesha sababu za kupamba moto kwa matukio hayo na athari zake kwa waathirika wa mitazamo na mawazo hayo (wanawake). Sababu za kupamba moto kwa matukio haya ni ukosefu wa elimu ya kutosha juu ya masala ya ndoa...
  4. Willima

    Athari za uandishi wa habari ndani ya taratibu za kimamlaka

    Masharti kwa waandishi wa habari katika nchi zenye changamoto ya utawala wa kiimla. Upatikanaji wa habari ni mdogo zaidi na waandishi wa habari wanaweza kupata udhibiti, mateso, na vitisho kwa Maisha yao. Nchini Urusi, kwa mfano, uvamizi wa Ukraine umesababisha sheria mpya inayozuia uhuru wa...
  5. Willima

    Unyanyasaji wa kijinsia unavyopamba moto kwenye elimu za juu (vyuo)

    Unyanyasaji wa jinsia katika ngazi ya elimu ya juu, umekua ukijitokeza mara kwa mara hususani kwa wanafunzi wa jinsia ya kike, ingawa matukio haya pia hujitokeza hata kwa wanafunzi wa jinsia ya kiume. unyanyasaji huu hujitokeza kwa njia tofauti, unyanyasaji wa kijinsia huwaza kujitokeza kati ya...
  6. Willima

    Waziri Ummy: Inasikitisha madaktari kuombana rushwa

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema rushwa imekithiri na kuota mizizi katika Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI) kiasi cha madaktari kuombana rushwa wenyewe kwa wenyewe. Ummy aliyasema hayo juzi, alipozindua bodi mpya ya wadhamini wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)...
  7. Willima

    Marekani yatangaza Monkeypox kuwa dharura ya afya ya umma

    Maafisa wa afya ya umma nchini Marekani wametangaza kuenea kwa ugonjwa wa Homa ya Nyani kuwa ni dharura ya afya ya umma. Tamko hilo litaweka huru rasilimali za ziada za serikali kusaidia kudhibiti kuenea kwa virusi. Kufikia Agosti 3, zaidi ya kesi 6,600 za marehemu zilikuwa zimethibitishwa...
  8. Willima

    US declares monkeypox a public health emergency

    US public health officials have declared the spread of the monkeypox disease a public health emergency. The declaration will free up additional government resources to help contain the spread of the virus. As of August 3, more than 6,600 cases of the disease had been confirmed in the US...
  9. Willima

    China yaanza mazoezi ya kijeshi karibu na Taiwan

    China imeanza mazoezi makubwa ya kijeshi ya baharini na angani kuzunguka kisiwa kinachojitawala cha Taiwan, saa chache baada ya Spika wa Bunge la Marekani Nancy Pelosi kuondoka Taipei. Vyombo vya habari vya serikali viliripoti mazoezi ya kuzima moto katika maeneo sita karibu na Taiwan yalianza...
  10. Willima

    Kenya2022 Wajackoya: Sijamuidhinisha Raila Odinga

    Kwingineko mgombeaji wa urais wa chama cha Roots George Wajackoya amekana madai kwamba amemuidhinisha mgombeaji wa muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga. Kupitia taarifa ,Wajackoya amedai kwamba video inayosambazwa mitandaoni ikimuinyesha akimuidhinisha Odinga imebadilishwa ili kuwapotosha...
  11. Willima

    Kenya2022 Wajackoya: Sijamuidhinisha Raila Odinga

    Mgombeaji wa urais wa chama cha Roots George Wajackoya amekana madai kwamba amemuidhinisha mgombea wa muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga. Kupitia taarifa ,Wajackoya amedai kwamba video inayosambazwa mitandaoni ikimuinyesha akimuidhinisha Odinga imebadilishwa ili kuwapotosha wafuasi wake ...
  12. Willima

    Kazi ya kuhudumu baa hasa kwa wanawake ionekane kuwa kazi ya heshima kama kazi nyingine

    Wewe unapaswa kutoa heshima yako kwakua hata waowenyewe hawapendi kudhalilishwa, hakuna binadamu anae penda kudhalilishwa.
  13. Willima

    Kazi ya kuhudumu baa hasa kwa wanawake ionekane kuwa kazi ya heshima kama kazi nyingine

    Wahudumu wa baa hasa wanawake wanapitia changamoto nyingi sana, changamoto hizi hutokana na kudharauliwa kwa kazi hii kwakuwa watu wengi sana huamini Kuwa wahudumu hao hawana tofauti na wanawake wanao jiuza, jambo ambalo sio sawa kwa sababu kazi ya kuhudumu baa sio sawa na kazi ya wanawake wanao...
  14. Willima

    Unyanyasaji wa wanawake wanaohudumu katika kumbi za starehe (Baa)

    Ninaamini kila kazi inauvaaji wake, na pia matukio haya huwa hayashawishiwi na mavazi ya mtu bali ni akili ya anae muona na ile namna anyo mchukulia muhudumu uyo kama angekua anamheshimu hawezi kupata wazo la kumzalilisha kwa amna yoyote ile. Sio kwamba ni wanawake wanao hudumu baa tu ndio wanao...
  15. Willima

    Unyanyasaji wa wanawake wanaohudumu katika kumbi za starehe (Baa)

    Ninaamini kila kazi inauvaaji wake, na pia matukio haya huwa hayashawishiwi na mavazi ya mtu bali ni akili ya anae muona na ile namna anyo mchukulia muhudumu uyo kama angekua anamheshimu hawezi kupata wazo la kumzalilisha kwa amna yoyote ile. Sio kwamba ni wanawake wanao hudumu baa tu ndio wanao...
Back
Top Bottom