Habari ndugu zangu!
Leo naomba kuongelea kidogo ubovu wa elimu ya TANZANIA hasa elimu msingi na sekondari.
Elimu yetu ya msingi na sekondari imekuwa na changamoto nyingi ambazo zimepelekea elimu hii isiwe chombo Cha ukombozi Kwa mwananchi. Changamoto hizo ni kama ifuatavyo:
1.Lugha ya...
Habari wataalamu wa biashara!
Nina wazo la kuanzisha biashara ya vifaa vya umeme pamoja na vyombo vya umeme. Naomba Kwa mtu mwenye uzoefu anipe mwongozo Kwa upande wa faida na changamoto za hii biashara!
Nipo Kagera- Biharamulo
Naomba kuwasilisha madam!
Chama Cha walimu TANZANIA na Chama Cha kutetea haki za walimu TANZANIA
Hivi ni vyama vimeundwa Kwa mujibu wa Sheria Kwa lengo la kusimamia na kutetea haki na maslahi ya walimu.
Tofauti yake:
1. CWT wanakata 2% kwenye msharahara wa mwanachama lakini CHAKUHAWATA wanakata 5000/= kwenye mshahara...
Kuuamini upinzani itachukua muda Sana! Hawa ni vibaraka wa wakoloni wasioitakia mema nchi yetu, sakata la madini mgombea urais kupitia upinzani akasimama kama wakili wa mabeberu ili kuidhoofisha nchi. Mama Samia Suluhu tuvushe palipo baki tusonge mbele.
Habarini ndugu zangu?
Naomba ufafanuzi juu ya huu mtandao wa vodacom kwangu hawajama wamekuwa kero kabisa! Naona huyu mmuliki wa mtandao huu anatakatuwe masikini na yawezekana hajui maisha ya watanzania au ametajirika sana anatakakupunguza idadi ya wateja. Sababu za kusema hivyo: moja vifurushi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.