Recent content by Wilhelm Johnny

  1. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Manka: Dada Poa maarufu Dodoma Aliyetekwa na kutoonekana kwa miaka 3 sasa

    Dodoma ukikamatwa na kosa la uhalifu mara kwa mara lazima upoteane mji unataka utulivu sio vibaka
  2. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Roho hai zinapotea huko Oman na sababu za kupoteza hazijulikani zaidi ya ndugu kuletewa mwili kuzika!

    Wajinga hawatakaa waishe unaweza kua smart sana ukijaribu kua kimya sio kila jambo ni la kuchangia. Inamana hujui jukumu la serikali ni pamoja na kulinda raia wake popote walipo duniani kama wapo kihalali
  3. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Kuna wengine hatujui tulipokosea

    Kwa mara yakwanza natamani kuoa single mama 😊
  4. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dadangu ana miaka 26, lakini mpaka sasa hajaolewa. Familia nzima tuna wasiwasi kuwa atazalia nyumbani. Tufanyeje?

    Njoo PM mkuu niko single hapa unitumie namba
  5. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, unalikumbuka 'goli' lako la kwanza baada ya kubalehe?

    Lilikua la mkono
  6. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupima ubora wa bidhaa kabla ya kuagiza mtandaoni?

    Habari za huku wakuu kuna mdau huku aliwahi agiza bidhaa na mzalendo cargo nataka kuagiza godoro nauliza ili nijue ubora maana bei zao ni za kizalendo kweli kweli
  7. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Natafuta samaki aina ya Msusa

    Wakuu nitapata wap samaki aina ya Msusa wa kukausha, nipo Dodoma.
  8. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Hezbollah yafanya mashambulizi makubwa ya makombora na drone kuwahi kutokea

    Wale ni wa Persian mkuu
  9. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Apple event ujio wa IOS 18 na iPhone 16

    Kabisa call record themes rcs massage
  10. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kuogopa sana kufanya nini ila baada ya muda ukaona ni kawaida tu tena ni kama vile umechelewa kuanza

    Mara ya kwanz kupanga gheto nilikua naanza kukusanya kodi ya pango mwezi kabla ya kodi kuisha saivi naanza kukusanya kodi siku ya kulipa kodi
  11. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania JINSI YA KUSAHIHISHA KIFAA CHAKO IOS 18 Dev Beta

    Jinsi ya kusahihisha kifaa chako kwenda IOS 18 dev beta. Tahadhari toleo hili ni majaribio linawez lisifanye kazi kwa ufanisi
  12. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Apple event ujio wa IOS 18 na iPhone 16

    Site yao bado iko busy wanapakia vitu na nikiangalia event yao hapa naona IOS 18 inakuja na mabadiliko makubwa
Back
Top Bottom