Recent content by wildfish

  1. W

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Huyo mfagiaji akamatwe haraka sana
  2. W

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Angekuwa ni mzungu ametumia hayo maneno ya kumuita sokwe binadamu sababu ya rangi yake,watu wote tungesema wazungu ni wabaguzi, jitahidi kutumia lugha ambayo haitadhalilisha utu wa binadamu mwenzio siyo kumuita mwenzio sokwe haipendezi.
  3. W

    Azam hiki mlichokifanya kwa Fei Toto ndicho mlitakiwa mkifanye kabla na sio kutaka kupitia mlango wa nyuma

    Siyo swala la pesa,Hersi na wachawi wote wa Yanga ukiwemo wewe mlikuwa mnamuombea Fei apotee kabisa kwenye ramani ya soka duniani, hivyo roho zenu mbaya zimeshindwa,mama kategua hila na mtego wenu.
  4. W

    Unahisi ni nani alifikisha suala la Feisal kwa Rais Samia na kwa lengo gani?

    Mwaliko wa ikulu ulikuwa ni shubili kwa viongozi wa Yanga usiku ulikuwa nimrefu sana,wamesonya usiku kucha,mama amewapiga na kitu kizito,[emoji3][emoji3]
  5. W

    Marumo Gallants hawana mpira wa kutisha saana

    Hata mchukue kombe bado ukweli unabaki palepale kuwa hili ni kombe la WALIOFELI,maharage ni maharage tu hata uyawekee viungo vya dizaini gani hayawezi kugeuka kuwa nyama.
  6. W

    Yanga ingempiga Wydad goli zaidi ya 5

    Idadi kubwa ya mashabiki wa Yanga wanachangamoto ya afya ya akili akiwemo huyu jamaa yetu,tumekusamehe bure sababu ya changamoto uliyonayo ya kiafya.
  7. W

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Game it's over now,tumeishia tulipoanzia hakika tulitamani sana kufika kanani mwisho tumeishia jangwani. AMEN.
  8. W

    Uchambuzi: Yanga na Mamelod kukutana Super cup

    Kwa wale wote mliowahi kusoma kitabu cha hekaya za Abunuasi,like hapa .
  9. W

    FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

    Hadi leo bado mnaweweseka kufungwa na Simba!,hiyo imeenda mimba tayari iliingia haijalishi ulibakwa au ulitoa mwenyewe kwa hiari yako,na leo tena mtapigwa kama ngoma na Rivers mtake mstake
  10. W

    Bodi ya Ligi, huyu Refa Jonisia hatoshi kwa mechi zenye presha kubwa

    Niambie ktk kumbukumbu zako ni derby gani ya Simba vs Yanga ambayo iliisha bila refa kutupiwa lawama,kwakifupi kila timu inayofungwa lazima ilalamike kuwa refa aliwaonea.
  11. W

    Haji ameanza matusi yake ya reja reja kwetu Yanga. Anaona sisi hatuna akili?

    Sasa kama anakili kweli asiseme ktk maisha kuna tamu na chungu mashabiki wa Yanga lazima muelewe hilo,Haji yuko sahihi hajakosea.
  12. W

    Hatimaye Simba wafanikiwa kuchukua kombe la kuifunga Yanga 😄

    Kwakifupi ni kwamba mimba imewaingia vizuri sana mmeanza kutema mate bao mbili siyo mchezo,alafu siku nyingine usirudie kwenda uwanjani na matokeo kichwani mwako utakufa kwa pressure.
  13. W

    Mudathir Yahaya Awagalagaza Simba goli bora Caf

    Vyura tangu lini wakawa na kumbukumbu
  14. W

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wenzako wakivuta bhangi wanaenda kulala.
  15. W

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Chelseafc ni timu yenye bahati sana kwenye mashindano haya sitashangaa kwa lolote litakalo tokea.
Back
Top Bottom