Recent content by Wild Flower

  1. W

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee Mpili wa Yanga afariki dunia

    Shabiki Mwandamizi wa klabu ya Yanga Mzee Mpili Afariki Dunia, Mzee Mpili Amefariki Dunia wakati akipatiwa Matibabu katika hospital ya ikwiriri huko Rufiji mkoani Pwani. Uongozi wa Young Africans Sports Club umetangaza kutangaza kifo cha Mwanachama wake, Haji Omari Ramadhani Mpili kilichotokea...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 Daraja la Nyerere (Kigamboni), NSSF yakusanya Tsh. 150 Bilioni

    Kwa hiyo kwa mwaka walikuwa wanakusanya Bilioni 15 na kwa mwezi ni Bilioni 1.25. Bas sawa ============================= Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umekusanya Sh150.04 bilioni kutokana na tozo za matumizi ya Daraja la Nyerere Kigamboni katika kipindi cha miaka 10 tangu...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Lissu apendekezwa kuwania tuzo ya Sakharov, yenye heshima ya juu zaidi inayotolewa na Umoja wa Ulaya (EU)

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu amewekwa kwenye orodha ya wagombea wa Tuzo ya Sakharov ya Uhuru wa Mawazo ya mwaka 2026, inayotolewa na Bunge la Ulaya. Tuzo hiyo kubwa ya Bunge la Ulaya inatolewa kwa watu, makundi au mashirika yanayotambuliwa kwa mchango wao...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Wasira: Kuna watu wanadhani Zanzibar inapendelewa kwenye Muungano

    Akizungumza leo Septemba 8, 2026 kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa Nchini ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira amesema: "Huwezi kusema Zanzibar kuna problem ambayo haihusu bara, au bara kuna matatizo ambayo Zanzibar...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Wasanii walioitwa na Katambi leo wamesamehewa bado Anko T na Niffer ambao hawakufika

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema wasanii na watu maarufu waliotikia wito wa kwenda kwenye kikao nae wamesamehewa makosa mbalimbali waliyokuwa nayo huku Jeniffer Jovin na Twalibu Bakari Anko T kutosamehewa kutokana na kutofika katika kikao hicho. Katambi amesema hayo...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

  7. W

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto: Sihitaji huruma ila Juma Lokole na Maimartha wananibully mtandaoni

    Hamisa Mobetto awataka Juma Lokole na Maimartha kuacha kumfanya kuwa content ameeleza kuchoshwa na kile alichodai kuwa ni bullying na harassment dhidi yake pamoja na familia yake kwenye mitandao ya kijamii mpaka imefikia hatua ya kumtumia ujumbe Dkt. Gwajima D ili ashughulikie swala hilo...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Kama hili ndo daraja limejengwa jijini sipati picha huko Kijijini ndani ndani

    Shuhudia namna Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, alivyokagua daraja la Goloka B, lililopo kata ya Toangoma, lililojengwa kwa fedha za wananchi shilingi milioni 21, ili kuondoa adha ya wananchi kupoteza maisha kwa kukatiza katika mto huo. Chalamila baada ya kukagua ameagiza...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Rais wa Cameroon, Paul Biya anaongoza nchi akiwa hajulikani alipo

    Rais wa Cameroon, Paul Biya (91) hajaonekana hadharani kwa zaidi ya siku 60, lakini bado anaendelea kutekeleza majukumu yake ya urais akiwa nje ya nchi. Hali hiyo imewafanya watu wengi kujiuliza kuhusu afya yake, mahali alipo na jinsi serikali inavyoendeshwa wakati kiongozi huyo haonekani...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Handeni - Tanga mje yapi ndo maji yenu kati ya haya?

    Mvutano mkali wa kimtazamo umeibuka mtandaoni kati ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Bara John Heche, na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, kufuatia ubora wa huduma ya maji wilayani Handeni, mkoani Tanga.Mjadala huo umeibuka leo Agosti 11, 2026, baada ya Heche kusambaza video inayonyesha...
  11. W

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Nimeibiwa Laptop kwenye Treni ya SGR, wameniambia CCTV za kwenye behewa ni urembo tu, hazifanyi kazi!

    Nimesukumwa kuandika simulizi haya kwa uchungu na masikitiko makubwa baada ya kukumbana na mkasa wa kuibiwa vifaa vyangu vya kazi ndani ya treni mpya na ya kisasa ya mwendokasi (SGR), huku nikigundua kuwa mfumo wa ulinzi unaotangazwa kuwa na kamera za CCTV ndani ya mabehewa hayo haufanyi kazi...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wachimbaji madini mnataka Ruzuku wakati Harusi mnazifanya na Helikopta?

    Rais Samia Suluhu Hassan amekataa ombi la wachimbaji madini kuhusu kupewa ruzuku kutoka serikalini akitania kuwa wana pesa kiasi cha kufanya harusi kwenye helikopta.
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mdada wako wa kazi umempa password ya WIFI? Vipi kazi zinafanyika?

    Kwa mimi Nilijuta. Nilimpenda so nikampa smartphone WiFi iko home 24/7. Show niliona .. ndo alipoanza kubadilika.. kulala saa nane usiku, kuamka mpaka umwamshe. Vyombo unarudi unavikuta. inshort, kazi mpaka umwambie hivi hivi hagusi.. nashukuru Mungu aliondoka ila siwezi rudia makosa. Sasa huyu...
Back
Top Bottom