Recent content by Wilbert Mtessigwa

  1. Wilbert Mtessigwa

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa utumishi wa umma

    PE stands for Personal Emolument ikimaanisha, PE Budget ni Bajeti ya Mishahara
  2. Wilbert Mtessigwa

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa utumishi wa umma

    Je, Taratibu za kufanyiwa Recategozation kama Ikama inaruhusu, bajeti imetengwa, umeshapewa na barua ya cheo kipya na umekikubali inakuhitaji pia KIBALI CHA KUAJIRIWA? ili Cheo kipya kiwe approved kwenye mfumo?
  3. Wilbert Mtessigwa

    JamiiForums Tanzania Fahamu utaratibu na gharama za kubadili jina la mmiliki wa kadi ya gari ni kiasi gani TRA?

    Document wanazohitaji ni: 1. Mkataba wa kuuzina chombo cha moto. 2. Nakala ya kitambulisho cha mpiga kura/Leseni ya udereva/Pasi ya kusafiria au kitambulisho cha Taifa. Nakala hiyo iwe imeambatishwa na pasipoti ndogo na kuwa certified na Wakili. Hii inahusu pande zote mbili (Mnunuzi na...
  4. Wilbert Mtessigwa

    JamiiForums Tanzania Wazo la kuuza vocha za jumla, max malipo na startimes kwa mwanza mjini

    Ahahaa.. Ngoja tuone anasemaje maana ndugu zake wote wangekuwa matajiri
  5. Wilbert Mtessigwa

    JamiiForums Tanzania Wazo la kuuza vocha za jumla, max malipo na startimes kwa mwanza mjini

    Mh! Hii hapana, ebu changanua hiyo faida inapatikanaje kabla hujapigiwa simu
  6. Wilbert Mtessigwa

    JamiiForums Tanzania Pata bajaji za tvs king na pikipiki za haojue kwa bei rahisi kuliko kote tz!!!

    Nahitaji haojue by next month mwanzoni lakini tupia picha za model tofauti tofauti mlozo nazo na bei zake hapa ili niweze kuchagua..
Back
Top Bottom