Mtoa Mada nakubaliana na wewe kabisa hii tabia ipo kwa wa mama, na malezi mengi wameachiwa wa mama wa baba wengi Wanaamini akishatoa pesa shughuli imeishiwa hapo.
Bro FedEx nikikundi cha wahuni waliopo pale, clearence ya mzigo wa nataka 150,000 ambayo kimsingi ni unyonyaji manake kama umesafirisha mzigo wako na courier ni jukumu lake wewe kulipa kodi za serikali nayeye atoe mzigo.. Nexttime safirisha mzigo wako na DHL are the best bro ilasio wale wahuni...
Hapo polisi asilaumiwe kama wewe unajua kabisa huyu kiumbe sijawahi kuonana naye ananizuga ilistory ziende wewe nawe unaenda hvyohvyo kwanini unywe juice yake? hyo nitamaa yako imekuponza, yupo kazini anatafuta pesa nahyo ndio ameona njia yake yake ya haraka kuuza juice. Huyo jamaa ataakipelekwa...
Watoto wanapenda sana upendo, na wanajua flan Ana upendo wakweli hvyo ningumu watoto kuacha kukuzoea, hyo ni Baraka cheza na watoto furahi nao uongoze siku za kuishi Duniani kwafuraha, watoto ni Malaika wa hapa Duniani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.