Habari wakuu!
nimeamua kujaribu kutengeneza Website [Forum] yangu, sasa nataka ni publish iwe inatumika hapa Tanzania na East Africa pia, je nitakuwa nimekiuka mashart kuwaiga hawa walio tangulia kutengeneza, mfano Forum nyingine za East Africa pamoja na Jf?,
Mawazo yenu wakuu Forum yenyewe ina...