gango2
JF-Expert Member
- Aug 31, 2011
- 1,958
- 2,292
- Thread starter
- #21
Mimi ninaelewa details zinazochukuliwa ni zamuhusika mwenyewe jinsi alivyo ji register katika database ya true caller...ila sio kila phone book ya mtu inavyosoma....wewe ulijaza detail gan katika sever ya true caller ila sio mtu alivyokusave katika simu yake....inamana mimi nikusave j alafu kwa mtu mwingi utokee j wakati wewe ni s....labda nieleweshe zaidi nitapingana na mtoa mada hapa
na ndio inavyofanya kazi, ila kitu kimoja, TRUE CALLER thier first preference ni kutumia name uliyosave wewe kwa simu yako, it means kama kuna mtu hukumsave na kuna mtu alimsave kwa jina J kila ukipiga simu as long as una link na yule aleyemsave litaendelea kutokea jina J kwako, mpaka pale utaposave jina unalotaka kwa huyo J kwako.
Means pale ukiisave tu ile namba basi true caller hawatoitumie tena ile J wataacha ile ile ulosave