Naomba msaada wa namna ya kupata TIN kutoka TRA

Wikulwe

Member
Jun 27, 2018
28
95
Habari wakuu!
Sikuku inaendaje?
Jamani nilikuwa naomba msada namna ya kuomba TIN number kutoka TRA kwa njia ya mtandaoni, yani online registration for TIN ,
Nasema hivi kwa sababu kuna baadhi ya vipengele vimenishinda kujaza,
Kwa yule mwenye uzeufu, au kwa yule aliye wahi kuomba kwa online register anisaidie.

Nasema hvi kwa sababu sina mda wa free wa kutoka kwenda TRA kuomba lessen , Maana kazini nikiingia saa mbili natoka saa kumi na nusu, kwahiyo mda unakuwa hamna.
Kuna baadhi ya vigezo vimenishinda kama
> biashara ninayo Fanya,
>plot number ya biashara yangu ilipo
Nasema hivi sina biashara yeyote ile, ndo nataka nianze na hyo TIN number .
Msada wenu wakuu.
 
h120

JF-Expert Member
Jan 10, 2012
2,416
2,000

Huo mchakato nakushauri anza january, ukienda saiv utalipishwa ya mwaka huu yote na ni lazima ulipe,na mwakani utalipa tena upya japo itajigawa mara 4, hivyo basi kusanya taarifa muhimu kisha jan, nenda.
 
Ngishi

Senior Member
Sep 17, 2018
133
250
Biashara mf.duka la rejareja ,duka la nguo za jumla,duka la samaki jumla na rejareja,mgahawa,glocery n.k
 
Watu

JF-Expert Member
May 12, 2008
3,233

Sajiki kampuni BRElLA namba ya kampuni ndio hiyo hiyo itakuwa TIN number ya kampuni yako. Ukishapata certificate ya incorperation nenda TRA TIN wanafanya kuprint tu certificate

Kama wakurugenzi wa kampuni watakuwa hawana tin hapo ni lazima uende TRA maana TIN wanachukuwa na alama za vidole.
 
Wikulwe

Member
Jun 27, 2018
28
95
Huo mchakato nakushauri anza january, ukienda saiv utalipishwa ya mwaka huu yote na ni lazima ulipe,na mwakani utalipa tena upya japo itajigawa mara 4, hivyo basi kusanya taarifa muhimu kisha jan, nenda.
Asante sana mkuu kwa ushauri,
 
Kwa hyo unanishauri nianze na BRELLA kwanza kusajiri ka jina kangu?
 
Wikulwe

Member
Jun 27, 2018
28
95
Biashara mf.duka la rejareja ,duka la nguo za jumla,duka la samaki jumla na rejareja,mgahawa,glocery n.k
Nataka nianze na m- pesa, Togo pesa , sasa nikienda kule walidai TIN number ndo nikawa sina, ila leseni ninayo.
 
Vladimir Lenin

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
3,315
2,000
Huo mchakato nakushauri anza january, ukienda saiv utalipishwa ya mwaka huu yote na ni lazima ulipe,na mwakani utalipa tena upya japo itajigawa mara 4, hivyo basi kusanya taarifa muhimu kisha jan, nenda.
Mkuu nisaidie kidg, mm nimeanza kabiashara kangu mwezi huu, ingawa sikufuatilia tin namba wala leseni, nasoma upepo wa biashara kwanza, sasa day one ya biashara yangu jamaa wakapita mtaa wetu kama nyuki, mm niliwahi kufunga na kuwakimbia, lakn kesho yake nikaamkia tra kufuatilia wakanipa fomu zao za kujaza, fremu ya biashara yangu ni banda tu la mabati nalipa 30. Vp nikikaa na haya mafomu kwa nia ya kuyapeleka January wakija tena naweza nikaingia kwenye matatizo?
 
Unaweza ngoja mpaka january, kwasababu hata ukienda TRA utaulizwa kama biashara imeanza au bado.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom