Recent content by Wickama

  1. Wickama

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya chatgpt, Gemin na meta AI nani anatoa taarifa za kweli?

    Kama una chochote ambacho ni technical au kinahitaji depth ya analysis au hata technical reports/papers za ku-publish itumbukize DEEPSEEK utanishukuru
  2. Wickama

    JamiiForums Tanzania Mmepata mtoto, unagundua mkeo ana mchepuko> DNA inaonyesha mtoto si wako> Mnaachana anaondoka na mtoto> ni sahihi mtoto kuendelea kutumia jina lako?

    Mikoa mingi humu Bongo ukizaa kwenye ndoa ya mwenzio basi mtoto ananasibishwa na kule ulikozaa na hata jina ni la kule 100%. Huu utaratibu nauunga mkono sbb ulimhakikishia mtoto ukoo na ndugu wa kumlea na kumstawisha. DNA ni jambo jipya. Ni vigumu kuukuta ukoo usio na "wakuja"
  3. Wickama

    JamiiForums Tanzania Tanga: Waja leo kuondoka majaliwa

    Mkuu umeutendea "Waja Leo" haki. Kuna kitu kimoja cha kuongeza. Kwa maoni YANGU: lafudhi ya Kiswahili cha Tanga hapa Afrika Mashariki ndiyo NAMBARI MOJA
  4. Wickama

    JamiiForums Tanzania Vitol Bahrain A.c ni partner mkubwa wa Dangote. Samia asidhani anamkomoa kujenga refinery Tanga

    Huu mradi ni mzuri sana kwa Bongo, Uganda na jiji la Tanga. Uganda wana uhakika wa ku-supply wese la refinery. Tanzania inajiandaa kuchimba wese lake kule bonde la Eyasi. Kutoka Eyasi Tz itatakiwa tuu kuunganisha wese lake hadi bomba la EACOP ambapo sio mbali. Pia manufaa ya kuzalisha vitu...
  5. Wickama

    JamiiForums Tanzania Dangote aichagua Kenya badala ya Tanzania kuanzisha kiwanda kikubwa cha kusafishia mafuta

    Exactly. Sasa Somalia, Djibout, Ethiopia kila mmoja ana mipango ya kujenga refinery yake. Hii ligi ya refineries itakuwa kubwa. Uganda wanajenga yao wakiilenga Rwanda na DRC. Biashara itakuwa ngumu
  6. Wickama

    JamiiForums Tanzania Dangote aichagua Kenya badala ya Tanzania kuanzisha kiwanda kikubwa cha kusafishia mafuta

    Total Energies wanamiliki refineries Ulaya ambazo shughuli yao kubwa ni kuagiza wese ghafi kwa bei ya chini, safisha, kisha uzia Afrika nk kwa bei juu. Ngoja tuone kama watauza wese lao kwa bei chini kwa Dangote
  7. Wickama

    JamiiForums Tanzania Dangote aichagua Kenya badala ya Tanzania kuanzisha kiwanda kikubwa cha kusafishia mafuta

    Okay, ni vigumu kujua wenye hisa kubwa kwenye haya mafuta ya kutoka Uganda (yaani wafaransa) wao walitaka wese ghafi liende wapi! Kwa Bongo japo kweli kuikosa hii refinery inauma lakini kwa bahati nzuri zipo dalili nzuri za kupata wese letu bonde la ziwa Eyasi kule Manyara na hata Mkoani Rukwa...
  8. Wickama

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuoa mama mwenye mtoto wa mwaka mmoja, halafu miaka 20 baadaye mtoto anakuambia: "Wewe si baba yangu" 🙄😏😏.Mnaotaka kuoa singo maza

    Wekeza kwenye ukweli. Ipo siku ataambiwa wewe sio babaake. Akikuuliza mwambie ukweli. Ila ukubwani atapima uliyomfanyia. Akikuta ulimlea bila zengwe na mapenzi bila tofauti na uliowazaa atakuheshimu na kukupenda sana
  9. Wickama

    JamiiForums Tanzania Mbwembwe nyingi mitandaoni, lakini makazi ya Baba Mkoani Iringa pa kawaida Sana

    Kwa binadamu wengi ardhi yenye chimbuko lenu kiukoo huwa inaleta "emotional link" ambayo haina thamani ya pesa. Refer Dr Livingstone, Chuma and Susi.
  10. Wickama

    JamiiForums Tanzania Mbwembwe nyingi mitandaoni, lakini makazi ya Baba Mkoani Iringa pa kawaida Sana

    Mkuu, siku hizi ukiona Coaster imejaa waombolezaji inaenda kuhani msiba basi aminia >80% ni wakusanya data za jamaa kwao vipi??
  11. Wickama

    JamiiForums Tanzania Niliposema Kitendo walichofanya Senegal katika AFCON 2025 FINAL kilikuwa cha Kipumbavu hamkunielewa, angalieni hizi 'Nyundo' walizopigwa na CAF

    There are many football fans globally who stand by Senegal. If you read their views in various platforms they also assert that Morocco rigged their way past Tanzania. My own opinion is that Morocco are bad and bitter losers. They got their penalty and squandered it anyway
  12. Wickama

    JamiiForums Tanzania Namna ya Waislamu kufanya mijadala ya kidini na wasio kuwa Waislamu

    Hili ni kundi maalum linalotarajia kuwa kelele zao zitadumaza uislamu. Lina uratibu. Kikawaida vijana ASILIA wa dini hiyo siyo wenye lengo baya na uislamu. Hili ni kundi lenye nia ovu na linatumia vibaya umri wao. Yeyote mwenye uelewa anafahamu kuwa hujuma dhidi ya uislamu ziliishia kuzaa...
  13. Wickama

    JamiiForums Tanzania Namna ya Waislamu kufanya mijadala ya kidini na wasio kuwa Waislamu

    Shk ukifatilia maudhui ya mada za kuikashifu Kuran na Uislam humu JF utagundua nyingi sio random. Zina chanzo kimoja. Quality na uwakilishaji unafanana. Kwamba Zina Uratibu. Wanaozileta humu ni vipaaza sauti tuu. Mabosi wapo kusoma kinachojiri. Kilicho sawa baina yetu na wasiokuwa sisi ni...
Back
Top Bottom