Trump ANAJUA kwa uhakika kwamba DUNIA inakwenda IKIBADILIKA kwa kasi, japo HATAKI WEWE UJUE...!
by Tyler Durden
Mon, 07/30/2018 - 23:00
Twitter Facebook Reddit Email Print
Authored by Rory Hall via The Daily Coin,
So far so good. Petrodollar will be showing signs of wear-and-tear in...
Rafiki yangu mmoja MMAREKANI aliniambia kwa KUNINONG'ONEZA nadhani mwaka 2003...akasema kwa kizungu...BEWARE WHAT YOU WISH FOR..! nikabaki nimeduwaa nashangaa alitaka kumaanisha nini hasa..?
KUNA KILA SABABU KUNAKOFUKA MOSHI KUNA MOTO; C.I.A "MOLES" AT FULL-SPEED WORK?
BEIJING, July 21 (Xinhua)
Chinese President Xi Jinping on Saturday published a signed article titled,
"China and Rwanda: A Friendship Higher than Mountains" on mainstream Rwandan newspaper The New Times ahead of...
Hapa BONGO siku hizi utasikiaga tu wakisema...YAJAYO YANAFURAHISHA...lakini nani anajua ukweli?
Gold Standard Requirements & Currency Crisis
by Jim Willie CB
July 13, 2018
home: Golden Jackass website
Jim Willie CB, editor of the “HAT TRICK LETTER”
Use the above link to subscribe to the...
Fatima, deni letu la taifa ni kama PESA TU YA MFUKONI [pocket change] ukilinganisha na UTAJIRI tulionao. Fikiria rasimu ya taarifa ya Jaji Bomani kuhusu madini na vito vilivyothibitishwa idadi yake [proven reserves] ya $14trilioni bila kujumlisha utajiri wa madini yasiyofanyiwa utafiti, GESI...
Mheshimiwa Fatima Binti Hemedi, yaani kichwa cha habari na mada yako mbona naona kama umetumwa kukanganya jamii? Hayo maswali siyo ya HISTORIA? Mimi nikakimbilia kuchungulia neone UKOMBOZI unatujia nakutana mada za mwalimu wa historia, wakati kuna MATATIZO lukuki yanatuzidi kimo hatuyaweki wazi...
Hahahaha! Wazungu wanatuogopaje tena? Tangu lini "MWENYE MBWA" anamwogopa mbwa wake mwenyewe wa kumfuga na "KUMLISHA MAUJANJA" tena? Angalia nyumani kama utaanzia miaka 500 hivi enzi za mababu;
1. Wazee wetu walipinga UTUMWA kwa nguvu zote. MWENYE MBWA akawalisha baadhi ya mbwa zake "MAUJANJA"...
Shida yetu wa Africa ni kutafuta suruhisho jepesi kwa maswali magumu. Kingine ni kudhani kwamba kwa vile TUNAAMINI tu jambo basi, dunia nzima itaganda hapo na kutusubiri sisi wakati tunaendelea kudoda. Mara nyingi watu wetu husema MBONA DUNIANI KOTE NDIVYO MAMBO YALIVYO au wengine watasema MBONA...
Ndalilo na Humble African, kujifunza ni jambo jema ila jambo sahihi ni KUJIDHATITI sababu ili jamii dhaifu [weak society] kama ya kwetu inakabiliwa na upinzani mkubwa sana katika kipindi hiki dunia INAHAMA KIUCHUMI, KISIASA NA KIUTAMADUNI kutoka magharibi kwenda mashariki chini ya uongozi wa...
Swala la ndege ni jambo zuri sana kama linaangaliwa kama kitendo cha kibiashara ambacho kinafanywa kimkakati ili kuboresha sekta ya utalii na kuinunua kiwango cha ushindani hata wa vivutio vya uwekezaji wa ndani na nje kataka sekta na tasnia nyingine. Hili kitendo hiki kiwa na tija na kuleta...
Mkuu Franco, kila mtu anauhuru wa kutoa maoni yake ila mradi havunji sheria. Ila nadhani muda umepita sana wa kuendekeza mambo ya kulialia tu kila siku bila kuanza kupanga kwa kuzingatia wapi tumekosea ili tuweze kujikwamua. Sisi waafrika tuna kasumba ya KASUKU ya kurudia rudia wanachosema...
Mkuu Franco, mbona umenivuruga hatari hivi? Kwani huko China tunakwenda kujifunza ya kujifunza ili utelimisha na wengine na tuchange mawazo ambayo yatasaidia kujikwamua hapa tuliponasa au tunakwenda KULINDA GOLI la Mzee Baba ili aendelee kutushikilia na makucha yake au sijakuelewa vizuri?
Kila...
Siyo busara KUJILIPUA tu kwa sababu wengi wetu tumekuwa tukijilipua. Kumbuka kwamba hizi biashara hata japo ni ndogo kimtaji au hata kimapato zinwakilisha ndoto kubwa sana za wajasiriamali. Pia kwa hali ya sasa mitaji ni shida sana kupatikana hata kwa kiwango kidogo cha fedha. Muda mwingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.