Recent content by Whitely killian

  1. Whitely killian

    JamiiForums Tanzania Mdude aeleza kilichomfanya asihamie Kenya

    Naona sababu kwanini mungu hajamuua shetani tuishi kwa amani... Maana akisema amuue shetani tutakufa wengi sana ambao tunajivika unafiki
  2. Whitely killian

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yabatilisha Vifungu vya Sheria vinavyowapa mamlaka Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi

    Majani ya magimbi hayajawahi acha kinywa salama
  3. Whitely killian

    JamiiForums Tanzania Vijana mnaotekwa, zifikirieni familia zenu..

    Simba anapokula nyama, majani hujiona yapo salama, lakini kile chakula ( nyama) anayokula simba inaposhindwa kumeng'enywa ( digested) simba huyageukia majani ili kuitapika ile nyama... Hakuna aliye salama,
  4. Whitely killian

    JamiiForums Tanzania N/Waziri Masauni, aagiza jeshi la polisi limhoji Mh Msigwa kuhusiana na kutekwa kwa Mdude Chadema

    Ule mstari mwembamba wa mahusiano bora kati ya walindwaji na walindaji unazidi kuwa mkubwa madhara yake ni makubwa mno siku za usoni...
  5. Whitely killian

    JamiiForums Tanzania WanaCCM wenzangu, Katiba tunailinda chini ya utawala huu?

    Chatu Oooh chatuu .. Wimbo utaimbwa kwa sauti moja kwa pande zote
  6. Whitely killian

    JamiiForums Tanzania DC Muro Matatani kwa kushusha Bendera za CHADEMA Arumeru

    Kila goti litapigwa
  7. Whitely killian

    JamiiForums Tanzania Waziri Selemani Jafo akitoka ndani ya ofisi yake mpya mkoani Dodoma baada ya kazi

    Hadi December tutaona mengi sana
  8. Whitely killian

    JamiiForums Tanzania Magufuli atashindwa uchaguzi wa mwaka 2020

    Propaganda mabaya sana hii ya kufanya upinzani uhisi pia kuwa kuna upinzani ndani ya ccm .. Ukija kushituka jamaa 2023 anabadili muongozo aongoze hadi 2035
Back
Top Bottom