Recent content by WhiteHouse

  1. W

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuhama kwa mtumishi wa Serikali

    Kazi niliitwa sasa kama ICT Officer na niliyoajiriwa kama Tutor ambayo ndo nafanya sasa ,zote mbili nilituma maombi huko nyuma.So maombi ya kazi ya ICT officer nilituma kabla sijaariwa serikalini.Hivyo sikupitisha barua kwa mwajiri mana sikua na ajira kipindi hicho.Na kazi zote mbili...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuhama kwa mtumishi wa Serikali

    Thax sana mkuu.Je ulipata barua ya kuruhusiwa kuhama baada ya muda gani?
  3. W

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuhama kwa mtumishi wa Serikali

    Kwa sasa niliajiriwa wizarani kama tutor naenda kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya kama ICT-Officer.Hizo kazi mishahara yake ni tofauti.Ya kwanza ni TGS D na ya pili ni TGS E
  4. W

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuhama kwa mtumishi wa Serikali

    Habari za kazi wadau wa jamii forum.Mimi nilibahatika kupata ajira serikalini mwezi wa 6 mwaka huu.Lakini awali nilifanya maombi ya kazi sehemu mbalimbali na hatimaye hivi majuzi tume ya ajira imetoa jina langu kua nimepata kazi nyingine ofisi ya Mkuu wa Mkoa ambapo kazi ya sasa ina mshahara...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Utumishi ni kimbilio la watoto wa maskini ambao hawana wa kuwashika mkono

    Hi guys, Awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa kunipa kazi serikalini.Nimeangaika miaka 3 huku natafuta kazi.Nilikua napiga temple private companies.Matusi,dharau na kebei ni jadi ya baadhi ya kampuni binafsi.Nilikua nakua mvumilivu lakini nikazidi kuaply kazi serikalini.Hatimaye...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Zitto akataa posho ya mil. 238

    Binafsi simwamini sana zitto mana ni kijana ambaye ni mnafiki kweli kweli
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mkulo afunika Kilosa

    tatzo la watz weng hawana shule na ubinafsi umezidi
  8. W

    JamiiForums Tanzania Je ni kiongozi gani ktk nchi hii mwenye huruma na wananchi?vip makinda na shibuda

    :embarassed2:Je kati ya Lowassa na Pinda yupi ni mtendaji mzuri wa kushughulikia matatizo ya wananchi?
  9. W

    JamiiForums Tanzania Je ni kiongozi gani ktk nchi hii mwenye huruma na wananchi?vip makinda na shibuda

    Nimekuwa nikitafakari sana juu ya nchi yangu ya Tanzania.Nchi iliyojaliwa kila aina ya rasimali,nchi yenye amani inayoridhisha ukilinganisha na nchi nyingine lakini ni nchi iliyojariwa viongozi wachumia tumbo.Sisi watanzania ni nani aliyetoroga?Je kwa maisha haya ,kizazi kijacho kitakuwaje?Je ni...
Back
Top Bottom