Recent content by whang

  1. whang

    Napata maumivu ya kifua upande wa kushoto shingo pamoja na mikono yote miwili

    dawa gani hiyo mkuu ya GERD ambayo sijaitumia?
  2. whang

    Napata maumivu ya kifua upande wa kushoto shingo pamoja na mikono yote miwili

    daah pole mkuu dalili ulizoelezea kama zangu tofauti kidogo tu. Nilikutwa na acid nyingi tumboni najaribu kutumia dawa za antacid lakini wapi
  3. whang

    Napata maumivu upande wa moyo, hizi ni dalili za ugonjwa gani?

    Mkuu kwa asilimia kubwa una gerd. Gerd ni ugonjwa wa kuwa na asidi nyingi tumboni.kabla ya kuwa na chronic gerd unakuwa tayari na acid reflux. dalili zake 1)kuhisi kiungulia 2)maumivu ya kifua sehemu za moyo yasiyoelezeka pamoja na mkono wa kushoto kuuma. 3)chakula huwa na hali ya kurudi nyuma...
  4. whang

    Wapi nitapata dawa hii inaitwa Dapson Tab

    Nenda sunrise phamacy ipo muhimbili karibu na bank.inauzwa 40000. Ilinisaidia sana hiyo.
  5. whang

    Fahamu kuhusu kipimo cha CT-SCAN

    Umekutwa na nini mkuu? Na hospitali gani ulifanya na bei gani?
  6. whang

    Fahamu kuhusu bakteria wa H.Pylori; Athari na tiba yake

    Mkuu weka hiyo dozi watu wengine wafaidike H pylori imekuwa ni tatizo sasa, japo mimi nilipona kwa quadruple therapy.
  7. whang

    Kichwa changu kina nini? naombeni ushauri

    Kweli mkuu nahisi ni stress tu zinamchanganya.japo ndiyo h pylori anasababisha hvyo lakini kwangu liliondoka lenyewe.
  8. whang

    Kichwa changu kina nini? naombeni ushauri

    Mkuu kila nyuzi unafungua wewe japo tunafanana tatizo. Nilishakwambia hilo tatizo litaisha lenyewe
  9. whang

    Fahamu kuhusu bakteria wa H.Pylori; Athari na tiba yake

    Daaah mkuu hilo tatizo lako kama langu nilisumbuliwa nalo wiki mbili lakini limeondoka lenyewe.mimi mwenyewe na h pylori
  10. whang

    Napata Maumivu makali ya kifua naomba msaada

    Mkuu hio ilikuwa first line treatment na kama umemaliza heligo kit wiki mbili mfululizo na bado unaumwa. Nenda hospitali ukapime tena hao h pylori kama bado wapo.kama hutojali ingia second line treatment( quadruple therapy) na ndo wengi wanapoponea hapo. Quadruple therapy dosage(10 days-14 days)...
Back
Top Bottom