Nashkuru kwa somo lako zuri sana, angalau nimekuja kusoma baada ya kutoka kufanya CT Scan leo na nilikua na hofu sana sana kwakua nilikua cjui naenda kufanyiwa kitu gani ila ulichokieleza ndicho nimekiona leo.
Nasumbuliwa na vichomi sana kwa muda wa mwezi sasa nimefanya baadhi ya vipimo kama cha moyo,vidonda vya tumbo pamoja na x-ray zaidi ya 4 ktk hospl tofauti na hiyo yote imetokana na uoga wa kufanya CT Scan na kuonekana hakuna shida ndipo nilipoamua kufanya maamuzi magumu leo ya kufanya CT Scan ktk hosptl moja kubwa hapa mjini dsm.
Nashkuru umeniondoa hofu kwa kiasi flani kwakuwa nilikua nawaza sana swala la mionzi.