Kufunguka kipindi hiki cha kainaonyesha dhahili jazba ya kukosa kuteuliwa kugombea urais. Nawashsuri viongozi wa ukawa waachane nae. Tuhuma za uchafu wa lowasa zinatakiwa kijibiwa NA CCM.
Barabara hii imekithiri kwa foleni hasa nyakati za jioni kutokea maeneo ya mwenge kuelekea posta. Askari wa barabarani wamekuwa wakitumia muda mwingi kuyaita magari yanayotokea mjini. Tunawaomba hawa maaskari wakumbuke kuwa hata hawa wanaotoka maeneo ya kawe mwenge pia wanatoka makazini kuwahi...
Hii barabara ya Ali Hasan hivi sasa imekithiri kwa foleni hasa unapotoka Mwenge kuelekea posta nyakati za jioni.
Magari yamekuwa yakiitwa ya upande mmoja, yale yatokayo Posta kwenda Mwenge kwa muda mrefu. Hii inasababisha upande mwingine kukaa muda mrefu kwenye foleni.
Tunawaombeni askari...
Hoja yako ni nzuri, inahitaji kiongozi mbabe na mwenye uchungu na taifa na mzalendo wa kweli. Pia na hata sisi wananchi tunapaswa kuungana kwa pamoja kukemea haya bila kuogopa mabomu ya machozi. Nadhani yule aliyesema ukishindwa kulipa 200 piga mbizi anaweza kuyasimamia haya.
Kivuko cha MV Magogoni tunavyokiona wakazi wa kigamboni, hakistahili kufanya kazi za kusafirisha abiria. mara nyingi kinapoteza mwelekeo, na hata kushindwa kupaki kwenye gati lake. Viongozi wapo na tatizo la kivuko hiki naamin wanlijua bado wako kimya wanasubili maafa yatokee waje na matamko na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.