Recent content by westone

  1. W

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa VS Kinana Mikutano ya kujenga vyama Kahama na Mbeya

    Watanzania msiwe wanafiki bila chadema kumbukeni mngekuwa wapi bila chadema tena nawaambia wakumuogopa ni mungu tu tuwe imara tusiwe wanafiki . Mtu mwenye msimamo anaeshima kubwa kwenye jamii kuliko mnafiki.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa VS Kinana Mikutano ya kujenga vyama Kahama na Mbeya

    Chadema mbele daima
  3. W

    JamiiForums Tanzania Nafasi nyingi za kazi na Scholarships - 23/01/2013

    Thanks very much but my question is it true people to get these opportunity
  4. W

    JamiiForums Tanzania Manchester united against world

    Hao mashabiki wote wanastress sasa wanachokifanya kuombeamabaya man u
  5. W

    JamiiForums Tanzania JWTZ proffessionals vipi?

    nimechoshwa na tabia ya watu kulalamika wakikosa alafu watu haohao wakipata wanasahau walikotoka mfano siamini kama jeshi ni kitu cha kukosa kama mtu unavigezo
  6. W

    JamiiForums Tanzania JWTZ Professionals

    kama mtu anataka jeshi ni vizuri apewe nafasi sio kwa sababu amekosa ajira ingekuwa hivyo watu wengi wangeenda
  7. W

    JamiiForums Tanzania Lema: Nilipigiwa Simu na mtu kutoka serikalini

    mimi sioni kama ni kweli vitisho dhidi ya wapigania haki kwa watanzania vinasaidia nafikiri avitasaidia kwasababu watanzani wanayasikika yanayoendela na huu ndio wakati wakushikamana kupinga kikamilifu vitisho dhidi ya wapigania haki kwa watanzania
  8. W

    JamiiForums Tanzania Nafasi JWTZ ..

    kwa taarifa niliyokuwanayo ili nafasi zianze mpaka bajeti ya mwaka mpya wa fedha kwa hiyo naamini mwezi wa 7 au 8
Back
Top Bottom