Dr Slaa VS Kinana Mikutano ya kujenga vyama Kahama na Mbeya

Mr Emmy

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
1,219
550
Katika mikutano ya leo nani kafunika bila kutegemea nguvu za ziada kama malori na mabasi
 
Katika mikutano ya leo nani kafunika bila kutegemea nguvu za ziada kama malori na mabasi

Usiongee sana unawapa watu ugonjwa wa moyo bure,,,cdm ni vitendo tu hakuna blaa blaa za kinana kubeba matofali kula kwa wali maharage kwisha habari ya hao ndo viongozi bure kbc, viva cdm ushindi unakuja kwa kishindo cha nuclear.
Cc simiyu yetu, ritz, taswira, nape, hamy d, ze marcopolo, msalani nk.........
 
Hahaaaa ile ya wali maharage imeniacha hoiii
 
kamanda wetu Dr.Slaa amefunika kinana mwinzi wa tembo huyo hana jipya
 
Mkuu tusimfananishe Dr Slaa na mwizi na muuaji wa tembo
Dr wetu wa ukweli tegemeo la kila mtanzania
Anatupa data za ukweli mpaka maccm wameanza kuhaha

Dr Slaa tunaomba utuambie mitambo ya Symbion what ever ni ya nani na ufisadi gani tena huu maana
Haiingii akilini hata siku moja mali tulizonazo Tz tunakuwa na umeme wa mgao shame on you maccm
Chama cha mauaji
 
Slaa kiboko.Nilisema tangu mwanzo, wana chama cdm siyo wajinga wasijue zzk mhuni.Hata akina Juliana Shonza wamepata hela za CcM wamekwenda kujisomesha UDOM.shida yao ilikuwa hela tu.Zzk nasikia ana majumba ya kifahari na account Ulaya na Asia kwa kuisaliti cdm.havumiliki dogo huyo.Atakaye mtetea ni mjinga wa kawaida tu au nimvivu wa kufikiri
 
kinana anajaribu kudanganya watu eti kula kande kijijini,nani asiye wajua hawa.Mtu ana miliki meli tena ilkamatwa na meno ya tembo.na meno yalivyo deal kweli mtu wakula kande huyo?Wana danganya watanzania kama ni watu wenye huruma.Kumbe wana tamani hata ufe waishi wao.
 
Angalia umati uliojaa kwa Dr Slaa bila kusombelezea.Mwigulu umeiona hiyo?Utaiweza cdm?mnawapa akina Shonza wanapata hela kusomea UDOM.Inawasaidia nini?Na wala moyo wake hauko ccm nimefanikiwa kuongea naye.mi naona muna ingia mkenge tu
 
Katika mikutano ya leo nani kafunika bila kutegemea nguvu za ziada kama malori na mabasi
mabasi na malori ni nyenzo Muhimu sana kwa mkutano wa ccm ili uweze kupata wahuzuriaji wa kuweza kupiga picha hivyo ni vigumu kutenganisha wingi wa watu kwenye mikutano ya ccm na Nyenzo hizo
 
Angalia umati uliojaa kwa Dr Slaa bila kusombelezea.Mwigulu umeiona hiyo?Utaiweza cdm?mnawapa akina Shonza wanapata hela kusomea UDOM.Inawasaidia nini?Na wala moyo wake hauko ccm nimefanikiwa kuongea naye.mi naona muna ingia mkenge tu

Mkuu,maneno makali km haya ndiyo yanasababisha Waandike matamko yao alafu wasingizie ni cdm ndio wameandika!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom