Hivi hawa Maccm wameanzisha mpaka combination za udini kwenye mitaala ya masomo wanategemea wanafunzi wakimaliza wafanye nini kama siyo kila mtu kuanzisha kanisa lake au msikiti wake? Na kwa nini walalamike sasa, hawaoni wao ndio wanazalisha makanisa au misikiti siyo rasmi? Tutaona mengi chini...
Akili za macc shida sana, wengine ni kuimba mama, mama tu hata hawajielewi huku wengine ni majitu mazima kuliko huyo mama☹️. Sasa hapa nchi lazima iwe ya kilevilevi tuu!
Hivi huyu Msigwa alituelezaje kuhusu mazungumzo ya ya simu ya mkulu na Chancellor Angela Merkel wa Ujerumani? Usanii ukikomaa nahisi huwa unakuwa kitu fulani tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.