Recent content by wengiwengi

  1. W

    Tatizo la network

    Simu nyingi za Samsung zinashida kwenye network card.. Mara nyingi network card zake huwa hazina nguvu na huanza kufa mapema.. Ukiona simu yako ya samsung inaanza kupoteza network au inakamata kwa chenga ujue ndio inaelekea kufa.. hapo itaendelea hivyo huku ikipungua nguvu hadi ife kabisa kwa...
  2. W

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Pia kwanini ukinunua luku haiwezi kujiingiza yenyewe kama kwenye ving'amuz vya tv?? Mfano ukinunua bando la startimes kwenye simu, automatically kingamuzi chenyewe kinaji unlock, hauna haja ya kwenda tena kwenye kingamuz uanze kuingiza manamba.. Inabid mbadilike.. pia itakua rahisi kwa mtu...
  3. W

    Dawa ya fungus za miguuni

    Tumia Terbinafine tablets na terbinafine cream kwa muda wa mwezi mmoja kisha uje kushukuru hapa
  4. W

    Kunuka miguu: Chanzo na tiba

    Tumia terbinafine tablets mwezi mzima na upake terbinafine cream miguuni tatizo litaisha.
  5. W

    Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

    mkuu alipona kabisa huo ugonjwa wa mdomo?? Hilo tatizo halikurud tena baada ya mda ?
  6. W

    Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    tpaul tupe mrejesho.. ni kweli umepona?? hiyo hali haijarejea tena maana kuna dawa nyingine unapaka zinasaidia ndan ya miezi miwili afu mziki unaanza tena
  7. W

    Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

    Mteja ni mfalme.. Inabd muwe mnajitahid hata ku encourage watu wajiunge na umeme.. muwe mnatoa hata na mikopo wakat wa kujiunga na mteja alipe taratibu kama dawasco wanavyofanya.. Hapa kazi tu.. Magufuli oyeeee! Muchape kazi sio maneno mengi.. muwe wabunifu.
  8. W

    Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

    Magufuli naomba pita nao hawa Tanesco Kibaha maana hawako serious na kazi.. Wakiniunganishia mimi umeme haraka ndan ya zile siku 14 hawaon watakua wanaongeza faida kwa shirika kuliko hivi wanavonifanyia??? Tanesco inabd mjiendeshe kibiashara.. Muwe kama voda au tigo.. Mteja ni mfalme.. Muwe...
  9. W

    Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

    Hivi mchakato wa kuunganishiwa umeme unachukua mda gani???.. Ninaishi kiluvya na kwa maeneo yetu huwa tunaunganishiwa umeme na Tanesco Kibaha.. Sasa tangia nipeleke fomu zangu hapo kibaha Kabla ya Xmass had leo huyo surveyor sijamwona wakati waliniambia atakuja ndan ya wik 2.. sasa mnataka...
  10. W

    Manesi wa Kairuki Hospital huduma zao ni mbovu

    Manesi wa hospitali ya Kairuki wamekuwa wakiwajibu vibaya wagonjwa na pia ndugu wa wagonjwa. Pamoja na kutoruhusu watu kulala na wagonjwa wao, manesi ambao walitakiwa wawe wanawatembelea wagonjwa nyakati za usiku huwa hawafanyi na hata mgonjwa akihitaji msaada nyakati za usiku hawafiki hadi...
  11. W

    Hospitali ya Kairuki wanachelewa kutibia wagonja

    Nina mgonjwa wangu nilimpeleka pale hospitali ya kairuki juzi saa 6 mchana, alikua anaumwa sana sanaa lakini cha kushangaza wao walivyompokea walimwekea drip tu na wakasema wamechukua vipimo na hakuna kingine kilichofanyika juu ya mgonjwa wangu zaid ya kumpa kitanda alale asubirie kesho yake...
  12. W

    Kiwanja kinauzwa kigamboni

    Hakijapimwa ila documents zote za serikali za mitaa zipo.
  13. W

    Kiwanja kinauzwa kigamboni

    Kiwanja kinauzwa Kigamboni Gezaulole Magengeni. Kina ukubwa wa 12.9mx27.3m. Kipo karibu na barabara ya lami.. Kimezungushiwa ukuta wa course 4 na kuna kisima cha maji kilichojengewa. Bei 13M.. kwa maelezo zaid piga simu 0719960810.
Back
Top Bottom