Ndio,utafika kituo cha kwanza (mandara) utaenda mbele kidogo kilometa moja (maundi crater) then utarudi chini getini ulipo anzia na kuonda,kwa kiasi hicho hautaweza kwenda mbele zaidi ya hapo,Asante na karibu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
UTALII WA NDANI UANZE NA MTANZANIA MWENYEWE
NJIA;MARANGU ROUTE(MAKAO MAKUU YA HIFADHI YA MLIMA KILIMANJARO)
•55000 Tzsh (kwa mtanzania MMOJA)
INAJUMUISHA
-Malipo ya hifadhi
-Malipo ya muongoza watalii
Haijumuishi
-Usafiri
-Chakula
Utafurahia mwenyewe
Kwa maelezo zaidi fungua hiyo picha...
Mambo vip,ni check whatsapp kwenye no 0762283253 apo kwenye banda nitakusaidia (Ramani za mabanda ya kila aina ya mnyama afugwae pia yanapatikana).
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kujua nikiasi gan cha kuku ambao utawafuga kama ni 200 au 500 na ni wa nyama au mayai.
Pia upande wa estimation,naomba kujua
Naomba kujua nikiasi gan cha kuku ambao utawafuga kama ni 200 au 500 na ni wa nyama au mayai.
Pia upande wa estimation,naomba kujua bei ya bidhaa hizi hapo ulipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.